fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,606
- 8,269
kumtafuta haina maana ya kufunua chupiHehehe hapo ataliwa kimasihara mpaka basi mpaka kuja kupata mume yupo hoi.
pambanaasante,,naanza kulifanyia kaz kesho [emoji18][emoji18]
Itawasaidia hiyoNdio, wewe mwanamke ukiwa tayari kuolewa, toka nje umtafute mumeo, usikae ndani kumsubiri, mfate huko nje. Mumeo hutampata ndani, toka nenda kanisani kusali, nenda msikitikini, nenda kwenye mihadhara ya kila aina ya kidini, kisiasa, makongamano, kwenye michezo mbalimbali.
Ongea na rafiki zako wa kike kama wana makaka ambao wapo tayari kuoa, ongea na mapadri, wachungaji, mashehe kuwaambia kuwa unatafuta mchumba, jiandikishe kwenye dating sites.
Ukitoka vaa kwa staha ongea kwa adabu na ukifanya utafiti ukamuona kaka fulani akakuvutia na ukagundua kuwa hana mke, mkabili mwambie umempenda na upo tayari akuoe.
Chacharika kwa kila hali, usikae kusubiri mwanaume aje, toka umtafute huko nje.
baba anąlo?Mume awe na gari
Bila shakababa anąlo?
In other words wa socialize, yes kukaa ndani tu kunakukosesha fursa nyingiNdio, wewe mwanamke ukiwa tayari kuolewa, toka nje umtafute mumeo, usikae ndani kumsubiri, mfate huko nje. Mumeo hutampata ndani, toka nenda kanisani kusali, nenda msikitikini, nenda kwenye mihadhara ya kila aina ya kidini, kisiasa, makongamano, kwenye michezo mbalimbali.
Ongea na rafiki zako wa kike kama wana makaka ambao wapo tayari kuoa, ongea na mapadri, wachungaji, mashehe kuwaambia kuwa unatafuta mchumba, jiandikishe kwenye dating sites.
Ukitoka vaa kwa staha ongea kwa adabu na ukifanya utafiti ukamuona kaka fulani akakuvutia na ukagundua kuwa hana mke, mkabili mwambie umempenda na upo tayari akuoe.
Chacharika kwa kila hali, usikae kusubiri mwanaume aje, toka umtafute huko nje.
Bora umewasanuaNdio, wewe mwanamke ukiwa tayari kuolewa, toka nje umtafute mumeo, usikae ndani kumsubiri, mfate huko nje. Mumeo hutampata ndani, toka nenda kanisani kusali, nenda msikitikini, nenda kwenye mihadhara ya kila aina ya kidini, kisiasa, makongamano, kwenye michezo mbalimbali.
Ongea na rafiki zako wa kike kama wana makaka ambao wapo tayari kuoa, ongea na mapadri, wachungaji, mashehe kuwaambia kuwa unatafuta mchumba, jiandikishe kwenye dating sites.
Ukitoka vaa kwa staha ongea kwa adabu na ukifanya utafiti ukamuona kaka fulani akakuvutia na ukagundua kuwa hana mke, mkabili mwambie umempenda na upo tayari akuoe.
Chacharika kwa kila hali, usikae kusubiri mwanaume aje, toka umtafute huko nje.
Hakika kwako nimepatikana... 💕
Hizi zote ni porojo, Ni Mungu pekee aliyeona hitaji la kuwa na mke au mume.Ndio, wewe mwanamke ukiwa tayari kuolewa, toka nje umtafute mumeo, usikae ndani kumsubiri, mfate huko nje. Mumeo hutampata ndani, toka nenda kanisani kusali, nenda msikitikini, nenda kwenye mihadhara ya kila aina ya kidini, kisiasa, makongamano, kwenye michezo mbalimbali.
Ongea na rafiki zako wa kike kama wana makaka ambao wapo tayari kuoa, ongea na mapadri, wachungaji, mashehe kuwaambia kuwa unatafuta mchumba, jiandikishe kwenye dating sites.
Ukitoka vaa kwa staha ongea kwa adabu na ukifanya utafiti ukamuona kaka fulani akakuvutia na ukagundua kuwa hana mke, mkabili mwambie umempenda na upo tayari akuoe.
Chacharika kwa kila hali, usikae kusubiri mwanaume aje, toka umtafute huko nje.
Nakubali..Ndio, wewe mwanamke ukiwa tayari kuolewa, toka nje umtafute mumeo, usikae ndani kumsubiri, mfate huko nje. Mumeo hutampata ndani, toka nenda kanisani kusali, nenda msikitikini, nenda kwenye mihadhara ya kila aina ya kidini, kisiasa, makongamano, kwenye michezo mbalimbali.