Kwani wewe unauchuliaje uuaji???? Kutoa uhai peke yake???? Sidhani kama iko hivyo kwani kuna uuaji ulio mbaya zaidi ya huu wa uhai ambao ni kuua nafsi/hisia/...............

Huyu ndugu hajui kwamba kuna indirect way za kumuua mtu taratibu. Anajua psychological war huyu? Hajui chanzo cha hii migogoro ni kumvuruga mtu mwishowe a commit suicide an aharibikiwe kabisa?