Akili Unazo!
JF-Expert Member
- Feb 18, 2009
- 3,930
- 4,937
Si ndio kafafanua ili muelewe. [emoji2] [emoji2]Thread yote hii kisa tu mwanamke aisee
Headding tu nilielewaSi ndio kafafanua ili muelewe. [emoji2] [emoji2]
mkuu nipe mda haya maisha nimeyachoka, nikiwa fresh ntaandika tena.Vicheche wawili ebu tulia na Uelezee Vizuri.. Umekumbwa na Nini? Huyo Mwanamke amekufanyaje? Je kama ni Member wa JF anatumia ID gani? Je Hao mawakala wake wapo humu JF? Ebu tufafanulie vizuri tukushauri Mkuu ukianza kuelezea kwa jabza siyo sawa.
Anza story iwe ya Mtiririko Mkuu so far umeunganisha story kama sita humo ndani.. Kuna Issue ya Walimu, Kuna issue ya washiakji zako kukuita Shoga, Kuna issue ya huyo mdada kuonekana ni mama mtu mzima, kuna issue ya kijiweni, Kunaa issue huyo dada kuwa na maisha mazuri kwao?
Ebu tulia elezea vizuri bwana story yako inatatulika Mkuu
Mmmh. Hongera zako. Hivyo hakustahili kuandika hiyo makalaHeadding tu nilielewa
Kama unahitaji kupona nipe namba ya huyo Mama nikufanyia kazi ndani ya dk 30 utapata majibu yake Poleeemkuu nipe mda haya maisha nimeyachoka, nikiwa fresh ntaandika tena.
Kama unahitaji kupona nipe namba ya huyo Mama nikufanyia kazi ndani ya dk 30 utapata majibu yake Poleee
Maelezo mengii kisa anamkwepa tu mwanamke daahMmmh. Hongera zako. Hivyo hakustahili kuandika hiyo makala
Mnatofautiana lakini huyo kaona akifupisha hamtamuelewa. Hivyo jitahidi tu usome halafu umpe ushauri. [emoji23] [emoji23]Maelezo mengii kisa anamkwepa tu mwanamke daah
Nisomee bas Jaman enhee mtoto mzurMnatofautiana lakini huyo kaona akifupisha hamtamuelewa. Hivyo jitahidi tu usome halafu umpe ushauri. [emoji23] [emoji23]
Mi mwenyewe nimesoma kichwa cha habari pekeeNisomee bas Jaman enhee mtoto mzur
Sio mzima weweMi mwenyewe nimesoma kichwa cha habari pekee
[emoji2] [emoji2] [emoji2] .Sio mzima wewe