Msikilizaji
Member
- Nov 6, 2008
- 51
- 9
Ni jambo ambalo halijazoeleka so kila amwonaye Ana mu-underestimate na kudhani ni dada poa kumbe ni swaga tu.
Mori
ni ujinga unawasumbua ............
sitaki hata kulisiia hili nenowanaume jamaniiiii uuuuuwwwwwwwwwwwiiiii jamani yamenikuta
yani ni watu wa ajabu sana hawa viumbe lol
nipeni tu pole
Nadhani huo ujinga ungefika mahali uwatoke sasa maana its too much!
sitaki hata kulisiia hili nenowanaume jamaniiiii uuuuuwwwwwwwwwwwiiiii jamani yamenikuta
yani ni watu wa ajabu sana hawa viumbe lol
nipeni tu pole
Pole mkuu hawa hawatabiriki kbs!sitaki hata kulisiia hili nenowanaume jamaniiiii uuuuuwwwwwwwwwwwiiiii jamani yamenikuta
yani ni watu wa ajabu sana hawa viumbe lol
nipeni tu pole
Msikilizaji ni he/she?Ndugu wana JF, kuna hiki kitu ambacho mimi huwa nashindwa kuelewa, ni kwanini mdada anapokuwa mcheshi wakaka/wanaume huwa wanachukulia kuwa she is easy to get.
Utakuta wakaka wengine wanamsema vibaya kuwa she is easy lakini hata kumjua hawamjui, ni kwanini wanfikiria hivyo?
Naomba msaada wenu ili nielewe hii phenomenon.
Karibuni
Msikilizaji ni he/she?
sitaki hata kulisiia hili nenowanaume jamaniiiii uuuuuwwwwwwwwwwwiiiii jamani yamenikuta
yani ni watu wa ajabu sana hawa viumbe lol
nipeni tu pole
Haya wa Kaka na wanaume tunawasubiria majibu yenu......
Wana mawazo mgado tu, kuna wacheshi na hawaingiliki kirahic na kuna wapole hata hawajaitwa wanaitika!