Mwanamke mrembo lakini ana kasoro

Mwanamke mrembo lakini ana kasoro

alikuwa anasemaje? simfahamu kweli huyo dada? maana nami niliwah date mdada mmoja hivyo hivyo.. isije ikawa tuliwahi kushare.
Wangu alkua na matusi ya nguoni wakati wa show, akikarbia kilele ni kazi ya kumziba mdomo tu, na nyumba za kupanga tena, mbona ilkua balaa
 
Kuna sehemu hujaielewa rafiki. Si kila mwanamke anapaswa kuolewa, kwa sifa za nje huyo mwanamke unayeita wako anadondokea kwenye kundi la wadangaji. Wewe unaplan za kumuweka ndani yeye mishe zake ni kukimbizana na muda. Sio awahi nyumbani awahi danga jingine liko kwenye foleni ndo maana hatakivumchoshe, anataka umle umpe chake atembee na ndo maana hata ukimuacha hana time wewe nyege zikikuzidia ndo unamtafuta. Hao ni aina ya wanawake ambaye unatakiwa kuwa naye wakati unamtu unayemuandaa kuja kuwa mke. Hapo pafanye gerage pa kumwaga oil chafu unamlipa unasepa zako pia kama unapekua utalia sio muda mrefu
 
ha ha ha.....

Mwanamke ameumbiwa aibu ,achana na wazaramo wa dar
 
😀😀😀😀😀😀 Haki ya Baba, nime usoma uzi wote mpaka nukta ya mwisho, nimejikuta nacheka kweli. hahahahahahahahah
 
Nimecheka saana hizo kauli za huyo binti, zinanikumbusha nyakati za ujana niliwahi kudate binti mmoja alikuwa na maneno ya ajabu ajabu sana tena hata mbele za watu, kifupi ni kwamba inakuwa hawana lugha ya kistaarabu

Siku moja nilikutana nae mtaani ghafla tu hatukupanga kukutana, basi baada ya salamu akaropoka oyaaaa we mwendawazimu nina hamu na m*oo yako hiyo ukani*ombe hadi niumwe yaan, hapo ni mbele ya kadamnasi na hana hata wasi wasi
Mngh! 😀😀😀😀😀😀
 
Umeshawahi kumuona akiwa na watu wengine anakuaje? Labda amekua sana na yuko huru na wewe ndo maana anaweza kuongea lolote. Kuna watu wanajua waongee nini na wapi. Jaribu kutoka nae siku uone jinsi gani anabehave kukiwa na watu asiowajua. Unaweza kita uchizi wake ni kwako tu.
 
Kosa Lipo Kwako Mdau
Tatizo La Kupenda Sana Unalo
Ivi Ulishawah Kumfokea Au Hata Kumpiga Kofi Kwa Kitu Usichokipenda Ambacho Amekufanyia?
Wanaume Bana Tukipenda Sana Hata Kuwakanya Tuwapendao Kwa Makosa Wanayofanya Tunashindwa
 
Yaani we mwanamke wa kugonga na kusepa unataka umbadilishe????una kichaa nini!tena huyo kwa ngono za siku moja anaonekana anafaa kweli kwa ngono...mi nkipata huyo nashukuru kbs tunakutana mara moja au mbili kwa mwezi hlf kila mtu kivyake..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom