Mwanamke mrembo lakini ana kasoro

Mwanamke mrembo lakini ana kasoro

Me mwanamke niliezaa nae jana kanipigia simu akasema,
"we mpumbavu uje umuone mwanao."
Hahahaaaa

Hao watu kuna nyakati huwa wanafyatuka tu hadi unakaa unajiuliza sijui nilidate nae vipi huyu
 
Hebu weka kapicha kwanza tuone huo urembo wake
 
Join her, nawe tumia lugha yake. Simple tu.
 
Sipendagi mwanamke wa hivyo aisee..hua namuona ni kama muhuni,tatizo unaweza ukamshauli na akaacha kuyatamka maneno hayo akiwa na wewe tu, na akiwa ktk jamii anakujengea picha mbaya usiyo ijua wewe.ukiwa unapita watu wanasema huyu jamaa si ndo mume wa fulani yule mwenye matusi mdomoni..! inaaibisha fulani hivi lakini jaribu kumbadilisha kwa kumshauli kwa hekima tu.
 
Ila asikuambie mtu, wanawake wa hivi ni wa tamu sana kwa bedi cjui kwanini, unamchukia kwa nje tu sio kwa ndani, ukikumbuka hata km ushaamua kumuachana unamtafuta mwenyeewe
 
Nilijua ni mchumba anayeelekea kua mke kumbe ni manzi wa kupiga na kusepa,
Mnakaa hata miezi ndio mnatafutana je kipindi hicho chote mnakua hamtoki na watu wengine? magonjwa ya zinaa nawaza.
 
Wangu alkua na matusi ya nguoni wakati wa show, akikarbia kilele ni kazi ya kumziba mdomo tu, na nyumba za kupanga tena, mbona ilkua balaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom