Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,180
- 22,801
kila napousikia wimbo huu.
mwanamke mrembo
hakosi kasoro"
hesabu gharama, hesabu gharama
ukiona zimezidi mrudishe kwao.
naumia sana. dada kiukweli ana mvuto nampenda na anavutia sana kimapenzi.ni mwaka huu nahangaika naye sana ,moyo wangu ana utesa lakini nakomaa hivyo hivyo. tunaachana tunarudiana, tunapotezana tunarudiana. ni mzuri sura ,umbo na ana tako kubwa zuri na hips.
shida kubwa ni mswahili. ni mswahili sana yaani hana kauli nzuri au hajui atumie maneno gani.mnaweza mkawa mnaongea vizuri tu umetulia yupo kifuani ukakuta anatamka neno la hovyo kweli.leo kapokea simu anaongea na mtu anatamka neno " mavii amchambe nani?" hayo maneno anaongea nami nipo. nlisha mkataza mara nyingi kutamka hilo neno.
jibu lake ni " aaaah we potezea bana.. inshu ndogo hizo una maindi?" hii lugha mi siipendi kwa mtoto wa kike.yaani tunaishia kuwa ni mtu ambaye tukitaka kutiana tu ndo tunatafutana baada ya hapo najikuta sina la kufanya naye.hili linanipa shida maana hatuna mambo ya maana tunayoweza ongea. ni kama akili yake ipo waru waru tu. hata wakati tunatiana sometime utasikia anasema " heeeh we hebu tom*a maliza mi nisepe usidhani hii kum* haichoki" au anasema "we mwanaume malaya sana yaani unatomb*na muda wote huo,mi nshamaliza chomoa niwahi homu" haya maneno huwa yananikata stimu sana.
najitahidi kumwambia basi angalau uwe unatumia lugha ya kistaarabu ananijibu "acha za kidingi wewe inshu nyingine unapotezea tu kama vipi tafuta wasomi siyo lazima"
haya mambo yananisumbua sana.