Mwanamke mpe mwanaume kiuno

Mwanamke mpe mwanaume kiuno

Yaani wewe hata mwandiko wako haufananii na kutingisha tingisha ...unatakiwa ukate uno mpaka na nanii huku ukifinyia kwa ndani.

Wasiwasi wangu Jael tu...huyu hii mada haimuhusu.

Sasa ndio sijui kukata uno jamani acha nijitingishe tu
 
hahahahaaaa....wengine kama chatu kameza ndama....hujuia anajinyoosha au anaukatikia ukuni.....hapo ndipo eat n run huwa ina apply....mtusamehe...nyonga jamani.....
 
hapa ni pwagu na pwaguzi harakati za ukombozi wa kiuno nyigu
 
Kuna wanawake wamejaliwa matako wakakosa kiuno. Kuna waliojaliwa kiuno wakakosa tako.

Na Kuna wanawake wenye kuringia matako sasa alooooo[emoji108][emoji108][emoji108][emoji108][emoji108]yani utasema labla haendi chooni(hawanyi)yani hawa hawajui labla izo Ni stooo tu za...

Huwa najiuliza sasa wanamringishia Nani?(wanaume)Nani alituambia wanatetemekeaga ivi vitu vidogo ivyo? Sana Sana wanatamani tu yani tamaaa inawaka kwa mda huo.
Sa we bibie mringo huo veeeep wakati wapo waliotangulia walikua nayo na wamekufa nayo?[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Ngoja niwaambie mwaya Mungu akikujalia chochote kile usiringe nacho ndugu.maisha haya ni mafupi mno tuishi kwa adabu na kujitunza.

Tudhamini na kujali utu wetu.
Tusiringe na maumbile yetu[emoji126][emoji126][emoji126]Mwanaume haringishiwi tako mpooo[emoji108][emoji108][emoji108][emoji108]mwanaume mpe kiuno[emoji108][emoji108][emoji1751][emoji1751][emoji1751].tako hata baba analo ndo anakalia.kiuno halooo.ni halali kwa mwanaume.
MUNGU awabariki wadada wote wanaotupa Faraja kipindi Hichi kigum[emoji8][emoji8]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna wanawake wamejaliwa matako wakakosa kiuno. Kuna waliojaliwa kiuno wakakosa tako.

Na Kuna wanawake wenye kuringia matako sasa alooooo[emoji108][emoji108][emoji108][emoji108][emoji108]yani utasema labla haendi chooni(hawanyi)yani hawa hawajui labla izo Ni stooo tu za...

Huwa najiuliza sasa wanamringishia Nani?(wanaume)Nani alituambia wanatetemekeaga ivi vitu vidogo ivyo? Sana Sana wanatamani tu yani tamaaa inawaka kwa mda huo.
Sa we bibie mringo huo veeeep wakati wapo waliotangulia walikua nayo na wamekufa nayo?[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Ngoja niwaambie mwaya Mungu akikujalia chochote kile usiringe nacho ndugu.maisha haya ni mafupi mno tuishi kwa adabu na kujitunza.

Tudhamini na kujali utu wetu.
Tusiringe na maumbile yetu[emoji126][emoji126][emoji126]Mwanaume haringishiwi tako mpooo[emoji108][emoji108][emoji108][emoji108]mwanaume mpe kiuno[emoji108][emoji108][emoji1751][emoji1751][emoji1751].tako hata baba analo ndo anakalia.kiuno halooo.ni halali kwa mwanaume.
Akupe kiuno ili abaki na kiwiri wiri ama
 
Back
Top Bottom