Alishastaafu siku nyingi, alistaafu na Cheo cha meja jenerali, hata hivyo yeye alikuwa mwanamke Wa kwanza kuwa na Cheo kikubwa jeshini Ingawa siku hizi Kuna wengine.
Afande Madawili ...jina lake limefanya mpaka leo hii kwenye kambi nyingi wanajeshi wakike walio mafunzoni wanaitwq MADAWILI... hasa wale wa JKT kila mwanamke huitwa dawili.