Mwanamke mguu bwana, BTH Upooo?

El tolo, ebu edit taito yako,
 


Na mguu wa chupa ya bia aka FANTA hupendezeshwa na kikuku atiii


Nasikia kuvaa vikuku miguu yote inamaanisha mvaaji ....anacheza mpira miguu yote kweli wajaamani......maana nimejaribu kuulizia kwingine yes kwingine NO....sasa what does it mean?????...its like uvaaji wa wanaume MLEGEZO[caught downing] wanasema ulianza kwenye jela za marekani..na uvaaji ule miaka ya nyuma uliashiria vingine lakini taratibu ikazoeleka na siku hizi hata wanaume STRAIGHT wanavaa..
 
Uzuri wa gari ni injini, na wala si bodi lake, ha ha ha ha
 
mguu wa kushoto meanz anatoa tIGO na mguu wa kulia meanz analamba KONI aka azam
 
Kinacho niacha hoi ni muda wa kupiga hiyo picha na sehemu uliyopigia!
 
Mwanamke mashine bwana mguu hata kondoo anao:wink2:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…