Mwanamke mguu bwana, BTH Upooo?

Mwanamke mguu bwana, BTH Upooo?

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2009
Posts
5,471
Reaction score
754
attachment.php


Na mguu wa chupa ya bia aka FANTA hupendezeshwa na kikuku atiii
 

Attachments

  • Picture 854.jpg
    Picture 854.jpg
    38.6 KB · Views: 2,221
mfukunyuzi kweli unajua kufukunyua. hizi wazipataga wapi lakini?
 
hahaaaa
mi nino wa kutembelea unanitosha
 
hehehhe!
jamani jamani.....

HAYA TU
 
We Mfunyukuzi hiyo picha kama naijua
 
Naskia eti ukivaa hicho kikuku unamaanisha kwamba unatoa 'ndogo'
 
sasa napata picha; ile ya asha balaka na hii zinaendana, inaonekana mfukunyuku ana picha zaidi. tule raha
 


asante mkuu...

Lakini rekebisha spelling kwenye hiyo heading...binafsi nilipoiona hii thread nilielewa kitu kingine kabisa maana kwa waswahili ukisema mwanamke mkuu...hata kama ulikuwa ulimaanisha mwanamke mguu...bado hiyo mkuu imekamilika na ina maana yake ambayo siyo uliyoikusudia wewe..
 
Nasikia Ukivakikuku upande mmoja, tena mguu wa kushoto...........ina maana wewe ni ta ta ti la laa tala!!!


  • Ukikivaa na cha mguu wa kulia hapo sijui

Lakini kwasababu inachangaya wengi, njia rahisi ya kufikisha ujumbe kuwa wewe ni ta ta ti la laa tala!!! Unapovaa miguu yote, inakuwa swadakita, hutupi taabu ya fikiri au kujiuliza mara mbili Tehe te he he heee....
 
sasa napata picha; ile ya asha balaka na hii zinaendana, inaonekana mfukunyuku ana picha zaidi. tule raha

Duh!kumbe asha baraka naye yupo juu!!sijawahi kumangalia kwa chini!!
 
kwani mguu utaufanyia nini mkuu, kuna wanawake wengine miguu mibayaaa, sura mbayaaa, umbile bayaaa, lakini ukienda uwanjani...unaweza kuuza hadi gari, nyumba ukatelekeza na familia alimradi tu umwoe...mguu huo mbona hauna maana, wa kutazama tu huo..au kuna kishimo chochote hapo penye mguu?
 
Back
Top Bottom