Mwanamke mbishi

mwendapole12

Member
Joined
Apr 2, 2022
Posts
21
Reaction score
26
Wanajukwaa, naomba mnisaidie hili limekaaje.

Ninaishi na mwanamke ila ni mbishi kupindukia kiasi kwamba hataki kufanya usafi wa nyumba, nikimwelekeza kutimiza majukumu fulani labda kufua nguo zangu, analoweka na kukamua, na kuanika hivyo hivyo mpaka niongee sana ndiyo ananisikiliza.

Sasa nimeona hii inansumbua kitu, nataka nimfukuze ndani. Bora akae chumba cha nje, mimi nikae kivyangu ili hayo majukumu nitekeleze mwenyewe. Hii imekaaje?

Maana sitaki aingie ndani kwangu tena, nataka nimpe chumba cha nje anipishe. Maana nina hasira sana, nikikaa naye karibu naweza kuagiza gunia la mkaa.
 
Ana miaka mingapi?

Wakati mnanyanduana kwa kuibia hukujua kama ni mchafu?
Tatizo ni mbishi sana hanisikilizi mpaka niongee sana au nifikie stage ya kumwasha vibao ndo anatekeleza namimi sipendi kufanya hivo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…