Mwanamke mavazi!

Sarafina Mshindo
i906_1188753417sarafinamshindo.jpg

Hivi hii picha imewekwa kwa hiari yake au umeamua tu kumdhalilisha. Sioni sababu ya yeye kukaa nusu uchi alafu watu wamtazame maumbile yake, na sijuhi amewekwa hapa kwa sababu gani, labda ili watu wakoment alivyo vaa vibaya, au ndo yuko sokoni.
"CHEMA CHAJIUZA, KIBAYA CHAJITEMBEZA"
 
Labda anamtafutia soko.
 
Amevaa vibaya gani bana, wacha watu tuoshe macho
 
huyo anayesema anajiuza no dada anaonekana labda alikuwa kwenye mambo yake ya Fashion somewhere ,church hizo pamba haziingii
Kinara wa JF akakumbana na picha na kuimuvuzisha hapa
 
wahindi afya migogoro! wanashindia 'rotii' na daal
 
Kwa kweli wanawake tunajidhalilisha wenyewe, tatizo hasa sijui ni njaa, fashion, kuiga, hata sielewi.
 
he sasa hii ndio nini? anaonekana mwanamitindo huyu....inawezekana alikuwa kazini ana lifanyia marketing vazi hilo machachari la aina yake (ana tangaza ubunifu wa mtu..) sasa ndio makamera ya jamii forum yaka mnasa
 
Amevaa vibaya gani bana, wacha watu tuoshe macho

Pale penye ukweli mtu aseme, alivyo vaa ni nusu uchi, na kwa tamaduni za kiafrika si vyema kuvaa hivyo. Unaposema unaosha macho, yaani utupu wake umekuwa maji ya kuosha oso ua una maana gani.

Mhhhhhh!!!!!!!!!.
Kwa hali ilivyo naona hutoki kweny computer kisa kuangalia hiyo picha. Ungeiprint ingekuwa vyema zaidi.
Ila kwa mtazamo wangu hiyo ni AIBU TUPU.
 
hayo sio mavazi ...huo ni uchi..yaani kweli kavaa hapo mwadau.............
 
acheni umero na ushamba mbona hajavaa vibaya huyo mdada? Hivi mmeshatembelea umasaini na kwa wabarbaig au wamangati mkaona wanavyovaa? Hawa mabinti wa kizaramo na wandenge wanapotoka ngomani mmeshawaona? Kama mna roho nyepesi mtabaka,jamani hilo paja kweli ni tamu lakini lisiwatoe imani
 
waambie hao!
 
injinia na sanaa wapi na wapi!

Usianze. Do you want me to break down your name (Journal Pape) for you?

Being an engineer ( or a professional in any other field) does not necessarily mean you are dead to the world. I have many interests....including playing the clarinet (an instrument I am sure YOU have never heard of let alone seen!!). Start thinking outside the box!

Mtu unaulizwa kwa uzuri unaanza ku hate. Hilo vazi inategemea lilivaliwa katika mazingira/mandhari gani. Kama ni katika fashion show/ talent show tutasema ni zuri, kama ni katika shughuli nyingine maoni yatakuwa tofauti.

Stop being paranoid.
 
Back
Top Bottom