Ur not a real manKama haki sawa kwa wote hamna haja kumtunza mwanamke bali tutatunzana.
Nikiwa na buku tugawane na yeye akiwa na buku tugawane.
Kila mwisho wa mwezi tujue kila mmoja ameingiza sh ngapi.

Si mtu halisi kivipiUr not a real man
Mwanamume halisi hawez kushindana na mwanamke eti wagawane pesa hata kama yeye ana kipato kidogo kuliko mwanamke bado atachukua jukumu la kumtunza mwanamkeSi mtu halisi kivipi