Agnes Benedicto
Member
- Dec 6, 2016
- 78
- 51
Hiyo ni pale maskini Huyo was kike anapofanya mwili wake kuwa kitega uchumi chake( means chanzo cha mapato yake)Ni wachache mno, point inayobeba kila kitu ni pale aliposema wanakuwa na wanaume wengi wakiamini kuwa na sehemu nyingi za kupeleka shida zao inawarahisishia maisha kumbe ndo wanalikoroga zaidi.
Mwenye uwezo anaweza kununua.Mwanamke masikini ana uza utu wake kwa urahisi sana kuliko yule mwenye uwezo
Kwanza kitendo cha mwanamke kuwa na elimu yake kichwani na uwezo wa kipesa hiyo inatosha kabisa kutomendewa mendewa hovyo na wanaume.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sasa sisi wa Kwamtogole tuolewe na nani jamani?
Kweli kuna wanawake watafiti wanataka kujua kila k2 hawa lazima wachezee bakora chini hata kama MatajiriIla sio umaskini ndo chanzo nakataa na kupinga mwanamke wa kutaka kujua kila kitu ndo mbayaaa sanaa.BORA MWANAMKE MASKINI KULIKO MJINGA NA MPUMBAVU WA MAPENZI.
Kama Jenifer Lopez au siyo?Hiyo ni pale maskini Huyo was kike anapofanya mwili wake kuwa kitega uchumi chake( means chanzo cha mapato yake)
Inawezekana hata wazazi wako walikuwa masikini ndio maana una ulimbukeni wa maisha hayo uliyoyakuta.Sisi tuliokuwa nayo tangu enzi za mababu hatuwezi kuuendekeza ubaguzi kama wako.punguza povu......maskini wengi mnazingua.umaskini ni laana na sio kingine.
Umerogwa wewe umetishaPole mimi ni mwanaume lakini kusema wanawake masikini wasaliti hawana mapenzi ya kweli nakataa.
Usaliti ni hulka ya mtu haijalishi masikini wala tajiri. Nilipata msichana ana uwezo kifedha, kwao maisha mazuri lakini cha ajabu hana mapenzi, mjeuri ana majibu mabaya. That's all
Acha kumtusi muheshimiwa maana alitoka kwenye umasikini.mtu masikini ni wa kuogopwa haijalishi jinsia
Hata wakata nyasi za ng'ombe ndo wanazilea familia za kitajiri, wanashughulikia sana wake wa bosi zao kwa ujira mnonoMleta maada ufaham kitu kimoja kuwa, hakuna masikini permanent. Umasikini huwa tunapokezana.... Akiwa masikini Leo , kesho unamkuta tajiri... Mimi ningekuunga mkono kama ungejikita zaidi kwenye tabia....Hakuna mwanamke Malaya kama tajiri.... Yupo tayari kuliwa na shambaboy tena mashambani humo.... Anamlipa kijana, anamshughulikia ipasavyo then imetoka hiyo.... Wanawake tajiri ni Malaya kuliko masikini..nukta....
You think locally N wanna act globally.Kati ya Wayne Rooney na wewe ni nani mwenye elimu kubwa?Nini maana ya elimu?Naomba majibu yasiyoambatana na OMO please.Kweli kabisa
Ww engineer mzima ukaoe msichana ambaye hata elimu ya sekondari hana kama sio utahira huo ni nini
Mwanzoni mtaenda sawa ila kadri muda utakavyozidi kusonga tofauti za kimtazamo zitazidi kuonekana
Na wengi wao ndio wanamiliki mb..ooo za bandia.Pumbavvvv kabisa mimi ni wa kishua so ninawajua vizuri.Umerogwa wewe umetisha
Hiki ulichokieleza hapa kina UKWELI kwa sehemu kubwa sana ingawa sio lazima iwe kwa Wanawake wote.Habar wakuu.....
Utafiti nilio ufanya Mimi katika mapenzi,,nimegundua wanawake wanaoongoza kwa usaliti ni wale wanaotokea familia za kimaskini
Mwanamke maskini yeye huwa na idadi kubwa ya wanaume..ilimladi awe na seemu nyingi za kulilia shida zake...
Mwanamke maskini hana upendo Wa kweli....unaweza ukawa nae kwenye mahusiano vzr,,lakini akitongozwa na Jamaa anae kuzid kipato hata kidogo tuu,mwanamke anahamisha penz.
Wanawake maskini wanaongoza kwa usaliti,,kubambikiza mimba wao mda mwingi wanawaza papuch zao ndio mkomboz wao...
Mwanamke maskini ninae mzungumzia Mimi ni yule anaetokea ktk mazingira magumu kiuchumi (familia duni) nazungumzia chimbuko alikotokea...
Wanawake waliotoka kwenye familia za wastani ,,hao hawana matatizo mengi....wanajua nini maana ya mapenz na nini maana ya maisha.
Tunapotaka kuoa tuangalie na familia wanakotoka wanawake zetu ili kuepuka matatizo
BORA MWANAUME ATOKEE FAMILIA YA KIMASKINI SIO MWANAMKE
Ni katika mistari gani hiyo ya Bible isemayo hivyo?Ila jaman hata bible inasema mungu hakuweka agano na masikini.kwavile ni rahisi sana kwa masikini kumsaliti
NI KWELI KABISA.Mwanamke masikini ana uza utu wake kwa urahisi sana kuliko yule mwenye uwezo
Kwanza kitendo cha mwanamke kuwa na elimu yake kichwani na uwezo wa kipesa hiyo inatosha kabisa kutomendewa mendewa hovyo na wanaume.
[emoji86] [emoji86] usifike huko mkuu !!sio bahat nasibu..in short umempa mwenzio mkosi
sina ubaguzi mkuu...unashindwa tuu kukubali reality.hata Mungu ameongea kuwa umaskini ni laana kwa msaada soma(kumbkumb LA torati 28).nisamehe kama nimekukwazaInawezekana hata wazazi wako walikuwa masikini ndio maana una ulimbukeni wa maisha hayo uliyoyakuta.Sisi tuliokuwa nayo tangu enzi za mababu hatuwezi kuuendekeza ubaguzi kama wako.