Mwanamke maskini katika mapenz hafai...muogopeni jamani

Nijuavyo mimi uhuni na umalaya ni tabia ya mtu aliyozaliwa nayo wala hakuna connection ya utajiri na umasikini.
 
This is Fact ndo maana Huyu mtooto wa kishuaa sitakii kumuachiaa mimii
 
 

Attachments

Umasikini na utajiri hizo ni hali tu za kimaisha,kikubwa ni kupendana,kusikilizana na kuvumiliana.
Hiyo ilikuwa zamani

Mwanamke maskini hawezi kukupenda kwa dhati na hata kama atakupenda halafu akatokea jamaa ana pesa za kutosha huyo mwanamke hata kama atakuwa hampendi huyo kibosile akawa anakupenda wewe lakini kadri siku zinavyozidi kwenda atazoeshwa hela ambazo hakuwahi kuzishika na upendo kwako automatically utapungua tu ,atakutafutia kisababu kidogo muachane.
 
Pole sana... Haya yote ni maisha...

Kuna umasikini wa fikra na roho... In short hakuna asiyependa pesa... Hakuna asiyependa good times, akuna asiyependa mambo mazuri...


Cc: mahondaw
 
Pole sana... Haya yote ni misha...

Kuna umasikini wa fikra na roho... In short hakuna asiyependa pesa... Hakuna asiyependa good times, akuna asiyependa mambo mazuri...


Cc: mahondaw
1-Alonacho kajaaliwa - jahazi modern taarabu

2- Bora uzima maisha ni matokeo - mahondaw

Smart911 nakupenda sana
 
mtu masikini ni wa kuogopwa haijalishi jinsia
 
Mwanamke masikini ana uza utu wake kwa urahisi sana kuliko yule mwenye uwezo

Kwanza kitendo cha mwanamke kuwa na elimu yake kichwani na uwezo wa kipesa hiyo inatosha kabisa kutomendewa mendewa hovyo na wanaume.
Si kweli mtu mwenye upendo wa dhat pekee ni masikini na akimpata mtu anamwamini na kumshikilia possibility ya kukuacha ni ndogo sana pind anapopata mtu mwenye huwez

Hata hivyo mwonekano wake ktk jamii huwa hafifu sana coz mda mwingi hajichangaji na jamii, mtu wa kushinda nyumban au shamba
 
Hawajafundwa hao!!! Am mind set problems[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
1-Alonacho kajaaliwa - jahazi modern taarabu

2- Bora uzima maisha ni matokeo - mahondaw

Smart911 nakupenda sana
I will do all my best to provide and give you anything you deserve mahondaw wangu...

All the moment am spending with you i treasure them... I like kissing you eyes... I like your smile... I wanna hold your long hours... Na vile ukiwa unanidekea on my laps kama katoto vile...

[emoji180] [emoji180] [emoji180] [emoji180]
 
Samahani mkuu si wote, uliyempata hakukupenda tu, wako maskini wanaoheshimu ndoa zao na wakaheshimika.
Ni wachache mno, point inayobeba kila kitu ni pale aliposema wanakuwa na wanaume wengi wakiamini kuwa na sehemu nyingi za kupeleka shida zao inawarahisishia maisha kumbe ndo wanalikoroga zaidi.
 
Masikini uliowataja hapo ni kama kina Wema,Wolper na wengineo wanaotegemea papuchi zao kama mtaji au?Maana ninavyojua mimi binadamu hurithi tabia kutoka kwa wazazi(influence and adoption).Ukiongelea suala la umasikini kuwa ndio sababu ya mtu kuwa na tabia mbaya nakataa kabisa.Zipo nchi zinazoongoza kwa kuwa na umasikini mkubwa na familia nyingi ni za kimasikini mfano Somalia na Sudan lakini watu wana maadili na sifa zote anazotakiwa kuwa nazo mtu timamu.Umasikini hauwezi ku-justfy tabia ya mtu bali mazingira aliyokulia.I need no povu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…