Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 64,566
- 116,282
Kumfananisha mwanaume na paka halafu ukashindwa kubainisha..!
Kama unauhakika thibitisha sasa..
Kumbuka unapoongelea wanaume unagusa wote bila kumsahau Baba yako.
Kwa hivyo ninazo sababu za kutosha kukuonya juu ya hizo kauli zako!
Unataka nithibitishe mara ngapi?
habari za baba angu kuwa cheater hiyo anafaa kuiongelea mama angu sio mimi wala wewe
am toking abt wanaume I can tok about you, hivo nawe ongea kuhusu wanawake ongea kuhusu mimi
baba angu, mwanaume wangu wateme...