Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 77,798
- 168,195
Sio wanaume wote tafadhaliii
poa we haumo....
Wako je?
kama paka, kama fisi n.k
Sio wanaume wote tafadhaliii
Wako je?
poa we haumo....
kama paka, kama fisi n.k
Ukitoka hapo unaenda kumvulia ukija huku unamwita paka, fisi n.k kweli na wewe una lako!!!!!!!
Na elewa.Unaelewa matumizi ya neno "kama"?
kumvulia namvulia tena sana and am doing it for love ila si kumfanyia atulie....
Na wababa wakinyimba zinakuwa fomu za fomu wani?
Na elewa.
Inategemeana na aina yako ya uvuaji ndo itamfanya atulie sio kuvua vua tu ukategemea kumtuliza mwanaume!!!
WANAUME NI KAMA PAKA, hata umuwekee bili ya steki buchani akiona panya atakimbiza tu....
Mie nimechoka kabisa................ na wale wanaofanyiwa kila lipaswalo na bado wanaenda pa kwenda? Mie sometimes ninaamini kuwa cheating/onjaonja au hizo adventures ni nature ya wanaume. They are explorers always, labda wanatofautiana na kiasi na ubinadamu wa kufikiria kuhusu hisia ya mwenzi wake.
Baaaaaaaaaaaaasi umemaliza na ukimkuta na mke wake utasema mtakatifu mathayo kashuka,,kumbe yaliyomo hayamo
Nivue zote, nipandishe gauni juu, nisogeze bikini pembeni n.k
Wanaume kama paka hata umuwekee bili ya steki atakimbiza panya tu over!!!!
:argue:Kukimbiza panya sio shida, shida ni kumla kama haujaona manyoya haina tatizo ila labda kama wako ndo atakuwa hajatulia basi jilaumu kuvua kabaya sio kulaumu wanaume wote.!!
:argue:
Eti it kukimbiza panya sio shida, kwani paka huwa anamkimbiza panya ili wacheze?
Yamekushinda usipende kuongea vitu usivyo kuwa na uhakika navya!!!!!!!!!
View attachment 138322
Mdomo unaponzaa!!!
Hahahahah! Umeniacha hoi eti kwani anamkimbiza ili wacheze
:argue:
Eti it kukimbiza panya sio shida, kwani paka huwa anamkimbiza panya ili wacheze?
Anaweza kumkimbiza lakini asimshike panya akatokomea shimoni!!!!!!
Kumfananisha mwanaume na paka halafu ukashindwa kubainisha..!Kilichonishinda ni kipi?
Kama unauhakika thibitisha sasa..Kuongea siachi, nnachokiongea nna Uhakika asilimia zooote,
Kumbuka unapoongelea wanaume unagusa wote bila kumsahau Baba yako.kama wewe haihusu mbona umeguswa namna hii???
WANAUME NI KAMA PAKA, hata umuwekee bili ya steki buchani akiona panya atakimbiza tu....