Mimi ni mwanaume lakini nakiri, Mwanamke amepewa Nguvu nyingi ili awe msaidizi kwa Mwanaume.
Kama isingekuwa kupunguzwa nguvu kupitia maandiko yanayoaminika ni ya Mungu, Mwanamke angekuwa kiumbe hatari zaidi.
Haya mambo ya haki sawa, mara nyingi huwa yanahusishwa na mpango wa shetani kwa wanaoamini. Kwa sababu kama mwanamke akipewa nafasi ya kutumia uwezo wake wote alionao, dunia itafeli.
Na ndio chanzo cha mabalaa Mengi ya kimahusiano. Ndoa hazidumu, wanawake wanazaa nje ya ndoa na mengine. Kwa sababu wanawake wanafika mahala hawaoni sababu ya kuwa chini ya utawala na bado wanafanya ambayo angetakiwa kufanya mwanaume.
Nakuunga mkono, lakini nakusihi uzitumie nguvu hizi kumsaidia Mwanaume. Sio kumuendesha.
Wangari Maathai.