Ramark
JF-Expert Member
- May 19, 2015
- 1,989
- 1,453
- Thread starter
- #21
Kueleza majukumu ya mtu ni ubatili? Biblia haisomwi kwa mistari kuelewa uhalali wa jambo bali isome yote inasimamia nn katika andiko husika. Mwanamke mpumbavu huibomoa nyumba yake" kauli inamaanisha upumbavu gani?
Upumbavu wa mwanamke ni kutoelewa wajibu wa mtawala kwa familia au kutokujikamilisha kwenye nafasi yako hivyo utakuwa mtawala mbovu na mtawala mbovu huondolewa au kukumbusha ili abadilike
Upumbavu wa mwanamke ni kutoelewa wajibu wa mtawala kwa familia au kutokujikamilisha kwenye nafasi yako hivyo utakuwa mtawala mbovu na mtawala mbovu huondolewa au kukumbusha ili abadilike
Ni asili ipi hiyo unamaanisha bwashee.?
Kwa mujibu wa maandiko (kwa waaminio) huu ni ubatili, rejea katika kitabu cha 1Wakorintho 11:3-12