nanjilinji
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 1,206
- 566
Weee usiombe wakati wa kifo cha mende. Ni afadhali flat screen ila ikiwa na ---- halafu kitambi ni mateso hayana mfanomimi naona mwanamke akiwa flat screen na kitambi ndo anachukiza but kama neema za allah zipo kitambi sio ishu
mimi naona mwanamke akiwa flat screen na kitambi ndo anachukiza but kama neema za allah zipo kitambi sio ishu
Ukishakuwa na kitambi haustahili kuitwa mrembo.
mwanamke mwenye kitambi anaitwa kibushuti....
Dah.....sa vingine vya uzazi, tutafanyaje sasa!
Ukiwasikiliza hawa utadata...
Kuna ma feminist waliweka picha nyiiingi za wamama ndani ya bikini...wote wana vitambi...ilikuwa expo fulani hivi...message ilikuwa usikubali mtu akuamulie muonekano...
Wanawake tumekuwa tunatathminiwa kama matoy...ndio maana mimi naamuaga kuwapa za uso kwenye thread za vibamia ili nao waone utamu...
Na sasa hivi wanawake wamedata na kutafuta flat belly ...ili kuwafurahisha mabwana (wanaume) kha...
jajajajajajajajaja!
View attachment 176376
Hii funga kazi. Ee Mungu umetuumba tofauti tofauti ahsante kwa ubunifu wako.
Hivi wewe kumbe mi KE?