Mwanamke kutokuwa na hisia

Mwanamke kutokuwa na hisia

Give it time. Umekuwa nae mda gani?

Umeshajaribu kuongea nae kuhusu jambo hilo?
She knows,and before anything happened yy ndo alinambia,sikuamini mwanzo mkuu,cause its strange.
 
mara nyingi huwa ni tatizo la kisaikolojia kuna kitu kimemtokea kikakata stim zote tiba ni wewe kumfanya aamini tena kwenye mapenzi. jaribu kumuonyesha unampenda yeye zaidi hata ya tendo lenyewe atajirudi taratibu
 
Duuh! Labda alitendwa... Aliwai kua abused... Hakupendi... Ana msongo wa mawazo... Hormonal imbalance...
Kuna sababu kibao! Nendeni kwa daktari
 
kuna dem mmoja yani hata uguse wapi hana habari, amekauka kama ukuni.

Unapiga mashine nusu saa nzima wala hajigusi na hata sauti hatoi.

Nikasogeza pembeni.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kama unakwichikwichi na roboti
 
Hana hisia hau hana hisia na wewe?

Mwambie aje nimpunguzie
 
Atleast umenielewa mkuu,hilo tatizo sidhani kama linatibika,it is very hard...
Kumbe ww ndo unafanya tatizo lisitibike...umeweka moyo wako kuwa mgumu usiamini ktk mabadiliko kutokana na majibu hayo
 
Back
Top Bottom