Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,166
Wewe unataka ujibiwe nini sijuiOyooooooooo
Kumbe silence means acceptance [emoji6][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe unataka ujibiwe nini sijuiOyooooooooo
Kumbe silence means acceptance [emoji6][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni mwendo wa kununiwa tuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] vipi Sakayo
Nakazia usikute hata mia hatumi hahahahEti dada akikaa kimya na ye anakaa kimya badala aendelee kusumbua aone kama hatakubaliwa[emoji23] vingine kujiongeza tu,akikaa kimya inatakiwa apate sms ya muamala au ya kuombwa watoke out kidogo,huko out akishindwa kumaliza mchezo basi ni uzembe wake tu mwenyewe
HahahaUnanifurahisha sana
Huyo dada atakuwa ndio wale wa nyangusageEti dada akikaa kimya na ye anakaa kimya badala aendelee kusumbua aone kama hatakubaliwa[emoji23] vingine kujiongeza tu,akikaa kimya inatakiwa apate sms ya muamala au ya kuombwa watoke out kidogo,huko out akishindwa kumaliza mchezo basi ni uzembe wake tu mwenyewe
Jamani polee mnoo kwa kutopata notification basi nikajua mchuno na Mimi kuvumilia ndio siwezi nijue tu kosa languDah pole sijaziona nimekuwa sipati notifications ngoja niingie kwa browser nione. Pole mchuchu
NakupendaWewe unataka ujibiwe nini sijui
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mmmh
Atume miaNakazia usikute hata mia hatumi hahahah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimeshindwa vumilia hapa imebidi niulize tu hao wengine waendelee kununa for good mfyuuuuNi mwendo wa kununiwa tuu
Hahaa nihangusage beeee sijui sambi sako mwenyew hehehehe ukiona kimya ujue nimekubaliiiiiiHuyo dada atakuwa ndio wale wa nyangusage
Unajua vyenye nakupendaHahaha
Sawa bwana
[emoji23] [emoji23] ajiongeze banaNakazia usikute hata mia hatumi hahahah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yuko chaliiii sambi zako mwenyeweHuyo dada atakuwa ndio wale wa nyangusage
Khaaaaa bure bure tuNakupenda
Kumbe na weweHahaa nihanhusage beeee sijui sambi sako mwenyew hehehehe ukiona kimya ujue nimekubaliiiiii
Basi baki na hamu zakoAtume mia
kwan anataka kununua nini?
Acha abaki na ubahili wake huku anakufa na tai shingoni[emoji23] [emoji23] ajiongeze bana
Kama kununuaBasi baki na hamu zako