Mwanamke kutokukujibu unapomtongoza

Mwanamke kutokukujibu unapomtongoza

Hajui kama angekuwa hatakiwi angeshaambiwa
Eti dada akikaa kimya na ye anakaa kimya badala aendelee kusumbua aone kama hatakubaliwa[emoji23] vingine kujiongeza tu,akikaa kimya inatakiwa apate sms ya muamala au ya kuombwa watoke out kidogo,huko out akishindwa kumaliza mchezo basi ni uzembe wake tu mwenyewe
 
Back
Top Bottom