Mwanamke kutokukujibu unapomtongoza

Mwanamke kutokukujibu unapomtongoza

Habari zenu wakuu,

Nielekee kwenye mada, nimekuwa nikimtongoza mwanamke kwa muda mrefu sasa lakini amekuwa hanijibu, mara nyingi huwa tunapiga stori za kawaida lakini nikifika sehemu nikiingiza mada ya mapenzi hukaa kimya pia hunipotezea kwa muda wa siku tatu hadi wiki kama sijamuanza kumuongelesha.

Huwa najiuliza ukimya wake unamaanisha nini?
Wengine wana majini ambayo hayapendi hivyo vitu, Mara nyingi huwa wana majini mahaba. Huwa hawataki kabisa kusikia hayo mambo,ukimuanza tu ushamtibua jini lake
 
Back
Top Bottom