Mwanamke kutofika kileleni, nini tatizo?

Barakaeli174

Senior Member
Aug 2, 2015
171
142
WanaJF naomba msaada,
Mimi nina girlfriend wangu huwa hakojoi kabisa pindi tuna gegedana, kwanza tunaweza tukawa na romance ya muda kidogo lakini hafiki kabisa.

Juzi tulikuwa na romance ya kama nusu saa nzima namshika kila mahali hadi nachezea kinembe na baada ya hapo tukagegedana ila bado hawezi.

Naomba msaada kujua tatizo ni nini? Je, kuna infection au ni ugonjwa au anahitaji nini ili afike? Huu ni mwezi wa 5 niko naye lakini bado hawezi kabisa, mwenyewe anakiri kuwa analo hilo tatizo.

Naomba msaada na ushauri kwa hili.
----------------------------------------------------
UPDATES

Nawashukuru wote kwa michango yenu na maelekeze, nimeyafanyia kazi yamenisaidia sana hadi sasa naweza nikamfikisha kileleni hata mara 3 kwa mkupuo, hakuwa ana nyege lakini sasa zinarudi na ameanza kunisumbua hadi mchana nikiwa kazini ananiita eti anataka sasa huyu naona nilichokoza ila nitapoza tu tutaenda sawa asanteni sana.
 
Girlfriend wako ana umri gani? kama ana umri kuanzia miaka 18 -23 au 25,hawa ki msingi sio 'vikojozi'au vikojozi sana.mwanamke kuto kukojoa kuna factor nyingi na wanasema 70% mpaka 75% hawajawhi kabisa kukojoa na wala hata hawajui kukojoa ni nini,sababu ikiwa nai pamoja na umri,maandalizi mabovu toka kwa wenza wao,hata hivo kadri ya umri unavyoongezeka mwanamke akiandaliwaa vizuri ukojoaji wake unakua juu sana,kwa hiyo unaweza ona huyu manzi wako ana umri mdogo au wewe hujui kumuandaa vizuri
 
Kwanza pole kwa hilo tukio mwanamke KUKOJOA ni maandaliz ya kisaikolojia kwahiyo ni vyema yeye kwanza ajitambue na ili ajitambue anahitaji msaada wako kujua jinsi ya kujitambua na kuweza kukojoa vizur . pili unahitaji kumuandaa vizur na kwa utulivu.
 
Girlfriend wako ana umri gani? kama ana umri kuanzia miaka 18 -23 au 25,hawa ki msingi sio 'vikojozi'au vikojozi sana.mwanamke kuto kukojoa kuna factor nyingi na wanasema 70% mpaka 75% hawajawhi kabisa kukojoa na wala hata hawajui kukojoa ni nini,sababu ikiwa nai pamoja na umri,maandalizi mabovu toka kwa wenza wao,hata hivo kadri ya umri unavyoongezeka mwanamke akiandaliwaa vizuri ukojoaji wake unakua juu sana,kwa hiyo unaweza ona huyu manzi wako ana umri mdogo au wewe hujui kumuandaa vizuri
Nlishawahi kuwa na gfiend mwingine nlikiwa namuandaa kama huyu na anakojoa hata mara 2 hivi
 
Anaogopa huyo mwanamke au yuko na depression...hata ukifanya nn akili inakua haipo kabisa kwanza inatakiwa akili yk yote iwepo mchezoni kabla ya chochote jitahd kumuandaa vyema...
 
WanaJF naomba msaada,

Mimi nina girlfriend wangu huwa hakojoi kabisa pindi tuna gegedana, kwanza tunaweza tukawa na romance ya muda kidogo lakini hafiki kabisa.

Juzi tulikuwa na romance ya kama nusu saa nzima namshika kila mahali hadi nachezea kinembe na baada ya hapo tukagegedana ila bado hawezi.

Naomba msaada kujua tatizo ni nini? Je, kuna infection au ni ugonjwa au anahitaji nini ili afike?

Huu ni mwezi wa 5 niko naye lakini bado hawezi kabisa, mwenyewe anakiri kuwa analo hilo tatizo.

Naomba msaada na ushauri kwa hili.
alikuwa amezoea boriti ndugu,wewe unaenda na toothstick unategemea nini
 
Back
Top Bottom