Mwanamke kutofika kileleni, nini tatizo?

Mwanamke kutofika kileleni, nini tatizo?

WanaJF naomba msaada,

Mimi nina girlfriend wangu huwa hakojoi kabisa pindi tuna gegedana, kwanza tunaweza tukawa na romance ya muda kidogo lakini hafiki kabisa.

Juzi tulikuwa na romance ya kama nusu saa nzima namshika kila mahali hadi nachezea kinembe na baada ya hapo tukagegedana ila bado hawezi.

Naomba msaada kujua tatizo ni nini? Je, kuna infection au ni ugonjwa au anahitaji nini ili afike?

Huu ni mwezi wa 5 niko naye lakini bado hawezi kabisa, mwenyewe anakiri kuwa analo hilo tatizo.

Naomba msaada na ushauri kwa hili.

Kwani yeye ni kikojozi hata unataka akojowe kitandani?

Kukojowa na kufika kileleni ni vitu viwili tofauti, iwe kwa mwanamke au kwa mwanamme. Kumbuka hilo.
 
Girlfriend wako ana umri gani? kama ana umri kuanzia miaka 18 -23 au 25,hawa ki msingi sio 'vikojozi'au vikojozi sana.mwanamke kuto kukojoa kuna factor nyingi na wanasema 70% mpaka 75% hawajawhi kabisa kukojoa na wala hata hawajui kukojoa ni nini,sababu ikiwa nai pamoja na umri,maandalizi mabovu toka kwa wenza wao,hata hivo kadri ya umri unavyoongezeka mwanamke akiandaliwaa vizuri ukojoaji wake unakua juu sana,kwa hiyo unaweza ona huyu manzi wako ana umri mdogo au wewe hujui kumuandaa vizuri
Hii inaweza kuwa kweli aisee... juzi nilikuwa na bint wa miaka 21 aisee nimegonga saa zima hakojoi.... halafu eti ananisifia nagonga mda mrefu bila .... ikabidi nimpasukie ujue wewe nabana kupiga bao sababu nakusubiri wewe... kwa nn hukojoi? anakwambia nitakojoa tu

Nilichofanya niaachia wazungu nikapumzika zangu
 
huo ndo ukweli,sasa hiyo show kampe above 27 atakojoa mpaka umuonee huruma
 
huo ndo ukweli,sasa hiyo show kampe above 27 atakojoa mpaka umuonee huruma
Mkuu wewe inaonekana upo nondo sana hii sekta dada yake na huyu wa 21 ndo demu wangu yeye ana 29 aisee anakojoa mpaka unafeel kabisa kama anafaidi. Sasa kadogo kake kalijilengesha nikakapelekea moto nikashangaa hakakojoi
 
njoo pm nikupe madini ukajisomee
 
Mkuu wewe inaonekana upo nondo sana hii sekta dada yake na huyu wa 21 ndo demu wangu yeye ana 29 aisee anakojoa mpaka unafeel kabisa kama anafaidi. Sasa kadogo kake kalijilengesha nikakapelekea moto nikashangaa hakakojoi
Acha sifa kaka,,,mtu na dadaake!!!!!!!!!!!!
 
Kuna kanga moja iliandikwa hivi " raha ya mapenzi wote muwe na hamu" Inawezekana huyo Dada hisia zake ziko mbali au hana hamu na wewe au we we siyo fundi.
 
Back
Top Bottom