Mwanamke kutembea na kisu kadogo

Mwanamke kutembea na kisu kadogo

Anapenda kupiga push-ups pia.. . ..

Kama Maasai dada unajua kukitumi japo kidogo hakika ni bora kuwa nacho kuliko kukikosa. . .. . .ukipata na pepper spray unakuwa sawa zaidi

Umenikumbusha
Pepper spray bongo zapatikana wapi??
 
Last edited by a moderator:
Maregete yatakuwa hararini kukatwa

Ila kwa mambo ya arm to arm combati hicho kisu kinafaa unakita kwenye ateli moja. Na kazi inaishia hapo
 
Anapenda kupiga push-ups pia.. . ..

Kama Maasai dada unajua kukitumi japo kidogo hakika ni bora kuwa nacho kuliko kukikosa. . .. . .ukipata na pepper spray unakuwa sawa zaidi


Ukipata dada mwenye mafunzo yote haya ya kujihami na akakubali kukupa mkataba wa uwekezaji moyoni kwake anza kuandika will mapema just in case ukimess up mbele ya safari usiingie mbinguni bila kuacha neno la wosia duniani!
 
Hakuna ubaya, kisu ni silaha unaweza kutembea nacho kama silaha ya kujilinda.

Kama wengine wanavyobeba bastola wewe unaweza kubeba kisu kama bastola huna.
 
Ukipata dada mwenye mafunzo yote haya ya kujihami na akakubali kukupa mkataba wa uwekezaji moyoni kwake anza kuandika will mapema just in case ukimess up mbele ya safari usiingie mbinguni bila kuacha neno la wosia duniani!

Ukaguzi kabla na baada itakuwa ni lazimaa. . . . . . .declaration of personal effects
 
Mambo iko kwa pepper spray bana....

pDSP1-8907980nm.jpg


Tote around your personal defender, Mace ® Hot Pink Pepper Spray. Pepper spray contains oleoresin capsicum, a natural element derived from cayenne peppers to create an intense burning to the skin, eyes and throat that thwarts an attack. This hot little accessory also contains an invisible UV dye that marks an assailant and aids in identification. Don't walk alone without this hot pink companion.

FEATURES:


  • Formula: Mace ® Pepper spray
  • Weight: 18 g.
  • Dimensions: Approximately 4.25" H x 1" W x 1.25" D
  • Spray pattern: Stream
  • Range: 8'-12'
  • Number of bursts: 10-20
  • Flip-top safety cap avoids accidental spraying
  • Finger grip dispenser
  • Key chain and belt clip
  • Intended for personal use
 
nyani ngabu kwa bongoland unaipata wap hii

Kwa kweli sijui ila waweza jaribu bahati yako kwenye supermarkets za kileo [ingawa sidhani kabisa kama zipo maana hata wazijuao wanaweza hesabika kwa vidole vya mkono mmoja].

Pepper spray ni silaha moja nzuri sana. Na za siku hizi zinakuja na panic button kabisa.
 
Sio mbaya
Kwanza vibaka wamezidi siku hizi

(kama utaweza kumthibiti nacho, ila angalia usije ishia jengo la serikali tu..)

Hivyo utembee nacho kwa kukilinda na si kwa kuwa wanaume wanabeba
kwa kuwa kaz ni moja ya hvyo visu i mean akibeba mwanaume au mwanamke ndo maana nikauliza hvyo hicho hapo juu ni changu nakitumia muda sasa
 
Huyu atakua changu.
Ukimzingua kumlipa anakata vile vitunguu viwili na bamia moja!
 
Kwa wenzetu wa mbele pepper spray ndio siraha rahisi ambayo ke anatakiwa atumie kujilinda. Na akitumia its not criminal act! Sio bunduki,mapanga na visu!
 
Back
Top Bottom