Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,228
- 13,450
Sio mbaya
Kwanza vibaka wamezidi siku hizi
(kama utaweza kumthibiti nacho, ila angalia usije ishia jengo la serikali tu...)
Hivyo utembee nacho kwa kukilinda na si kwa kuwa wanaume wanabeba
unaweza tembea nacho kwa kujilinda kikawa cha kukujeruhi kama sio kukuua inahitaji uzoefu na uangalifu