Mwanamke kusikilizwa

Nashangaa watu mnaona si uanaume kusikiliza...jamani huyu mke hajaomba ela anataka kusikilizwa tu...

Nashukuru Mungu mi nina pa kueleza stress zangu...hata kama haziko interesting kuna mtu ananisikila mpaka namaliza...na wala ani interrupt...
I do the same to him...I am trying maana si nature yangu nimejifunza hii tabia toka kwake...
 
Reactions: BAK
Mkuu hapo kwenye rangi hakuna formula inaweza kabisa kuwa vice versa. Kuchepuka wengine huchepuka tu anajua kabisa akirudi nyumbani hata kama amechelewa kwa saa moja tu basi mangumi ni haki yake na baadhi wanakubali hii life style ya vipigo. Akichepuka/asipochepuka kipigo ni haki yake tu sasa si bora achepuke tu.



 
Nina wasiwasi kwanza wanawake wenye wanaume wasio wasikivu ndio wana tatizo la kufika kileleni...

Jitu halikusikilizi litakupaje mzuka...kama si kutimiza wajibu tu basi...


 
Reactions: BAK
huyo mwanamke pia ana sura mbili,kwa kuwa james ndio wa kweli,atakuwa amehic uozo wa mkewe,huyo jizi wa nje lazima aigize ili amnase zaidi,
 
Nami nashangaa kwakweli, yaani dunia imekuwa ngumu kiasi hicho kiasi kwamba mwanaume anayemjali mumewe anaonekana umabnormal, na ukorofi na ubabe ndio vimekuwa normal. It is so sad.....
Nampenda sana mume wangu, na katu siuoni ubushoke wake, na kutokana na matendo yake nami kanifunza unyenyekevu.
 
Yani huyo mumeo mshikilie vizuri...
Wanaume wa hivyo naona wanazidi kuwa adimu..
Nilikuwa nina tabia ya kumchukulia mume wangu for granted...
Lakini mambo anayofanya madogo madogo yamefanya nipate feedback toka kwa washikaji zangu kuwa that was not normal...na nina bahati...
Wanamsifia mpaka nasikia vibaya maana naanza kujiona kama sifai kuwa mke wa huyu jamaa...

wakati mwingine nashangaa mtu ananambia NK una bahati...mimi mume wangu hawezi kunifuata kazini, tena anisubiri kama niko busy...like serious????

Embu nyie wanaume wapendeni wake zenu bana...haaaa

 
well said
 
hakuna utam wa hubba kama kusikilizwa na kuliwazwa , caring kwa kweli hawajui tu ila hivi ndo silaha tosha kumueka mwanamke kiganjan mwako. wanawake tunapenda sana kusikilizwa na kubembelezwa

hapoo hata mpenzii wangu namwelewaga sanah kwa hili anavopenda kubembelezwaa lohh mpaka nafurahh sanah saf mama umeuaa mdada
 

nimependa maandishi haya jaman mungu awalinde
 

oyooooooo iki njema hii
 
Hata ile mood ya kufanya mapenzi na mwanaume kama huyu inakuwa haipo, wengi wa wanaume kama hawa ndio huishia kuwarape wake zao. Hawana lugha ya mapenzi hata chembe hata kwa dakika chache tu.

Nina wasiwasi kwanza wanawake wenye wanaume wasio wasikivu ndio wana tatizo la kufika kileleni...

Jitu halikusikilizi litakupaje mzuka...kama si kutimiza wajibu tu basi...
 
Ndio dunia ya leo hiyo imevaa tambara bovu, hapo kwenye rangi hongera zako nyingi sana.

 
Hata ile mood ya kufanya mapenzi na mwanaume kama huyu inakuwa haipo, wengi wa wanaume kama hawa ndio huishia kuwarape wake zao. Hawana lugha ya mapenzi hata chembe hata kwa dakika chache tu.

Mkuu BAK ni kweli usemayo, hivi Mariam akikutana na majibu ya James unadhani atapewa chakula cha usiku kikiwa cha moto na kitamu???

Sana sana ataambiwa "hiko hapo ukimaliza funika" lakini akikitana na Kelvin baada ya kumbatio puchi ushaloa na kulegea mpaka chini....

Kifuatachp ITV utamalizia.......
 
Last edited by a moderator:
Halafu na Kevin anapewa shughuli za hali ya juu hadi kuchanganyikiwa utamu hadi utosini...chezeya nyama ya ulimi Mkuu!!

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…