Mwanamke kusikilizwa

Hapa naona umefanya assumption ambayo Tulikuwa tunafanya kwenye physics enzi hizo "All other factors remain constant",yani huja consider Swala la kwamba James naye anafanya kazi na ana stress zake pia,pili Watu tunatofautiana kwa jinsi tunavyo handle stress,huenda Kelvin ni mzuri katika kuhakikisha stress zake na za mtu mwingine hazimsumbui

The doesn't revolve around women only,u should also be considerate
 
how to get your husband to listen to you: Understanding how men communicate

Hiki kitabu nakisomaga again and again.......
na nimeshawapa wamama kibao kukisoma. kila mtu anaonaga kama anasemwa yeye......
Kiufupi tu ni kwamba timing itafanya mtu akusikilize
 

Cousin tena wengine wakienda kwa michepuko wanawacare kupita kiasi, ikifika kwa mkewe utadhali alilazimishwa kumuoa!
 
Last edited by a moderator:
Ukiona husikilizwi maana ake ulijenga mazingira hayo yakutosikilizwa kwa sababu ulimtafuta kelvin,kwa hiyo haustahili kusikilizwa na james atasikilizwa mwingine nje maana wewe ulishaweka mazingira na mpasuko ndani
 

hawa dada zetu, mama zetu na wake zetu,,,,, sasa hivi wanataka haki sawa tena kwa lazima, humu wanajidai na misamiati bubu,,,, lazima uwe James/Kelvin ili uwe nao sambamba....maana ni stress tupu.....warudi kwenye sayari yao wakaishi peke yako....aaaggggghhhhh...
 
Ilishawahi kuletwa humu....
Aksante tutakuwa tunawasikiliza ila na nyie msitupande kichwani sasa.
 
Sasa huyo James ndiye anaweza kabisa kuwa chanzo cha mke kuchepuka au hata ndoa kuvunjika maana ndoa yao imekosa mapenzi kabisa. Halafu baada ya majibu kama hayo ya kukinaisha atataka mkewe akampe papuchi!!!! Akinyimwa kosa! nyumbani hakuliki wala hakukaliki!!!!


 

Mwisho wa siku mkuu utakuta huyo mwenye horror answers ndiye anayependwa zaidi kuliko huyu mwenzake!

Wanawake ni viumbe wa ajabu sana kaka, hata kuchepuka hapo itakuwa kazi ngumu akimhofia huyu mr horror.

Ila kwa vile charminglady hajatoa mtazamo wao katika upande wa kitandani performance zao zimesimama vipi, siwezi kataa wala kubali!

Ila kumbuka kuwa watu kama James (less smart people) wanasifika sana kubanjua vyema! lol, ila Kelvin types of people (wasafi) wanakuwa less effective when it comes to sex!

NB: Sijawahi fanya hii research, but ukweli ndivyo unavyojiweka huru wenyewe! I stand to be corrected!
 
Last edited by a moderator:
Ilishawahi kuletwa humu....
Aksante tutakuwa tunawasikiliza ila na nyie msitupande kichwani sasa.

Mkuu madhara ya kumsikiliza sana mwanamke nadhani unayajua wazi kabisa!!!

Do it at your own expense!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…