Kanisa gani!!
Maana makanisa mengine hapana!!!!
Naam, ipitie tena thread yako uangalie umesema unao wangapi.Mkuu kuna sehemu nimesema nina mademu wengi
Huwezi fikia kua na mke kabla ya kupitia hatua ya kua na demu
Duh we ni nouma!! What the secrecy behind this theory?Geuza kitanda kielekee kusini magharibi kwa chumba. Then atumie mikono kushuka kitandani n sio miguu
Anakudanganya huyo na sababu ya hayo makororo yote anayajua...we mkomalie na mtishie asipokuambia unamwacha ataeleza vyote!!Nikimuuliza anasema eti hakumbuki alichokua anaota