Mwanamke kuota usiku

Mwanamke kuota usiku

Mkuu nimesena nina demu wangu mmoja!! Au ningesema ninademu wangu mmoja tu!!!
..........kuna demu wangu mmoja............ hii bila shaka yeyote inaonesha kuwa huyu mmoja ni miongoni mwa wingi ambao tayari unao. Hiyo " tu" kama ungeliiweka kama ulivyopendekeza basi ungelikuwa umeweka wazi zaidi tu kuwa unao mademu wengi, wala isingefanya uonekane kuwa unaye huyo mmoja tu.
 
kuota usiku ni mchanganyiko wa kilichofanyika mchana... sometimes yes..
 
Back
Top Bottom