Mwanamke kuolewa ni lazima sio bahati

Mwanamke kuolewa ni lazima sio bahati

Kweli ndoa ni muhimu sana lakini wasilazimishe kama mambo yamegoma,wataumia wao siyo watu waliowasukuma waolewe.Maana wengi huingia kwenye ndoa kwa kuchoka kunyooshewa vidole
 
Kweli ndoa ni muhimu sana lakini wasilazimishe kama mambo yamegoma,wataumia wao siyo watu waliowasukuma waolewe.Maana wengi huingia kwenye ndoa kwa kuchoka kunyooshewa vidole

Na mwisho wake mambo yanakaa kooni.
 
ANAJIKOSHA
Sizitaki mbichi.
Ajui wanawake waliokosa mume au waliozivuruga ndoa zao uzijutia sana.
Maana thamani ya kitu au mtu ni hadi asipokuwepo.
Cheti na watoto uwapa kiburi Sana wanawake wasiojitambua na kupelekea kuanza kuonyesha tabia ambazo hazikuwepo kwenye mkataba wa kuoana.
Laiti watu wote wasingezificha tabia zao ndoa nyingi zisingekuwa na migogoro.Mtu anajifanya malaika Ili aolewe/aoe kumbe ni shetani.
Why usijionyeshe wwe ni shetani tangu mwanzo Ili mtu afanye uamuzi sahihi.
 
Ndio system ilivyo wanaume single bado wapo wengi sana ila hawana hela
 
Mkuu nakubaliana na ww 100% ukishafikisha 35 ukiwa kwa wazazi hapo hata mahari unaweza usitozwe,mana ni mzigo tayari. Afu ukute huna mbele wala nyuma utaiona dunia chungu.
 
TANGAZO KIDOGO BAADA YA UKWELI MCHUNGU
 
Dada zako wote wameolew?? Shangazi zako je?? Mama zako baadhi? Mama yako je? Au basi hata Bibi zako je??
 
Back
Top Bottom