Grealish10
Senior Member
- Mar 25, 2020
- 104
- 295
Mwanamke kuolewa ni lazima na sio bahati, wanaosema bahati wengi kilomita zimekata, wamekata ringi..
Kila mwanaume anaetaka kukuoa unamkataa unasema sio wa type yako.. ukija kushituka una miaka 45 nani aoe ajuza?
Mnataka wanaume wenye pesa? Wana wanawake zao waliowavumilia kwenye kutafuta....unawaza gari na nyumba kabla ya ndoa badala uwaze ndoa ndio ifuate mali... kama hujaolewa jua wewe unatumika pasipo faida, wazazi wanaumia ila hujui tu. KUOLEWA KUNA RAHA HAIJALISHI UMEOLEWA NA NANI.