CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
hivi daughter ukimuita bf mume ukweli si bado unajulikana tu sio mumeo na ww sio mkewe? mi naona ni jina tu kama vile mpnz, bby.... etc. haibadili uhalisia.
Alafu hii tabia imeota mizizi,eti mnatumiana msg oooh...karibu tule mume wangu...nae anajibu asante mke wangu....unakula nini?? Yani unafiki mtupu then end of the day mnaachana kiaina.
Tupe experience yako mamie
Ha ha ha mama watoto (asipaone mke wngu mtarajiwa hapa) ,wewe si umeshaolewa?Tehe tehe....baba watoto
Ha ha ha mama watoto (asipaone mke wngu mtarajiwa hapa) ,wewe si umeshaolewa?
Dah..my daughter una maekspiriens namna hiyo.... duh...! kweli nimekuza mwana.
Alafu hii tabia imeota mizizi,eti mnatumiana msg oooh...karibu tule mume wangu...nae anajibu asante mke wangu....unakula nini?? Yani unafiki mtupu then end of the day mnaachana kiaina.
Hapana mamie... Mume ana position yake aisee, sasa utakuwa na waume wangapi? As unajikuta mpaka ufikie ndoa ushakuwa na dates kadhaa! Mweeeh... Atabaki kuwa BF, Mpenzi, Baby n.k.
Naona mashost zangu wanavojiachia kwa BF zao et "Mume wangu" Kesho na kesho kutwa wanaachana anapata mwingine pia anaitwa mume lol!! Hata hadhi ya mume inaisha...
labda wanafanya kwa imani
wakiamini one day atakua mume/mke kweli
maneno huumba bana
Hao wanawake huwa nawafananisha na watoto wajengao mahekalu yao ya mchanga kwenye fukwe za bahari, maji ya bahari yanapojaa huzibomoa hekalu hizo na hupotea kama hazikuwepo vile
Si halali kabisa,utaita wangapi mume!
Jina lake halisi linatosha kabisa..hizo zingine mbwembwe tu
Si halali kabisa,utaita wangapi mume!
Jina lake halisi linatosha kabisa..hizo zingine mbwembwe tu
Mmmh...siyo yote bana
Mfyuuuuuuuuuiiiiiiiiiiiiiiwwwwwwwwwww.......... Mume my foot!!!!!!!!!!
Mmmmmmh! Kwani huyo BF unakuwa umepangiwa na shetani?Atabaki kuitwa BF, Mpenzi, Baby, Honey n.k ila mume liko reserve kwa mmoja tu niliyepangiwa na Mwenyezi Mungu.