Mwanamke kumuambia mwanaume anavyotongozwa

Mwanamke kumuambia mwanaume anavyotongozwa

Ukiona mwanamke amekwambia fulani kanitongoza ujue hajampenda akimpenda ananyutiiiii
Nahisi kuna wengine hata hawatongozwi kweli , ila wanasema hivyo tu!
 
Wakitongozwa na ma sponsor wa ukweli hawasemi
sanasana..wataweka status tu watsaap..'thank God'

ukiona wanakusimulia ujue wametongozwa na vimeo
Hili nalo neno...!
Kuna ukweli hapa.
 
ukiona unaambiwa maneno hayo alaf huyo mwanamke sio mpenzi wako

ujue una tabia za umbea umbea wanawake wanakuona kama shosti yao ndio mana wanakwambia hiyo ipo siku watakuagiza vitunguu na nyanya
ni kweli mkuu apo wanamfanya shosti wao lenyewe linajiona janja
 
Tabia za kishoga Acha kuwa na urafiki na mabint
Ushoga hapana!
Urafiki mabint some time unakwepo ili kusocialize baadhi ya mambo!
Ila mambo ya namna hiyo yapo tu atakuambia, na unaweza kubaki kumsikiliza tu!
 
"...Women are unpredictable creatures, they may do the same thing for different reasons..."

1.inaweza wanataka kukuonyesha kuwa wanatongozwa
2.inaweza kuwa hawana jambo lingine la kuongea na wewe
3.inaweza kuwa wanataka kusikia maoni yako
4.inaweza kuwa sababu yoyote tu

Angalizo: Zungumza na marafiki zako wa kike "but not to that extent"
 
nishauri wakuu tuwe tunapunguza makali ya maneno aisee... wengine wanakuja na ishu seriously sasa tukiwa na majibu ya chooni kama haya hatutayajenga humu!
Mkuu mbona mi sijaona hayo maneno makali kihivyo? Naipenda JF kwa jinsi ilivyo, watu wote wakiwa na sympathy kwenye uchangiaji jf haiwezi kunoga
 
Ukiona mwanamke amekwambia fulani kanitongoza ujue hajampenda akimpenda ananyutiiiii
Swadakta.. ...maneno yako kama msumari... Yameingia mahala pake.... Na anatumia hio kujitakasa aonekane yeye ni msafi hapendi ujinga.
 
ukiona unaambiwa maneno hayo alaf huyo mwanamke sio mpenzi wako

ujue una tabia za umbea umbea wanawake wanakuona kama shosti yao ndio mana wanakwambia hiyo ipo siku watakuagiza vitunguu na nyanya
Hahaaaaaaa daaa wewe jamaa umenifanya siku iishe vzr aisee kama namuona Frezyem kwa mabali tupovu tunatoka.
 
Back
Top Bottom