Mwanamke kumuambia mwanaume anavyotongozwa

ukiona unaambiwa maneno hayo alaf huyo mwanamke sio mpenzi wako

ujue una tabia za umbea umbea wanawake wanakuona kama shosti yao ndio mana wanakwambia hiyo ipo siku watakuagiza vitunguu na nyanya

Kama umenisema aisehh nilishawahi kutumwa nyanya na vitunguu kipindi kile nasoma. sasa nilikuwa najiuliza mbona hawatumi wenzake mpaka mimi. kwenye kuandika research nilikuwa nawaandikia mpaka dissertation. nilikuwa mjinga sana ila sasa walionifanyia mtoto wa watu sitaki tena ata kuwaona na kuwasikia.

nilikutana nao siku moja nikashikwa na hasira ikabidi nipite kushoto ata salam sikuwapa.
 
bora vitunguu
wataenda nae saloon abaki nje kashika mkoba

Najiona mimi aisehhh nilishaletaga uzi mmoja hapa. mmoja wao alinifanya nikaenda kwao nikaa miezi miwili. sasa cha ajabu akawa ananipa kofia zake wakati nafua nimfulie.

kwenye story zake akawa ananiambia yeye hatom.b.w.a.g.i hovyo. mara kuna meneja flani alimtakaga akataa. mara wanaume wanamtongoza sana.

najishangaa mpaka leo eti niliishi kwao miezi miwili. sijui nilikuwa nimelogwa. aisehhh nilichewa sana na hawa wanawake kipindi kile nakua.

siku nilipoondoka niliondoka na uchungu mwingi sana huku nalia. ilinibidi mpaka simu nibadilishe nisimpate ila sasa namba zake zikawa kichwani mpaka leo bado nazikumbuka hazipotei.
 
Kama umenisema aisehh nilishawahi kutumwa nyanya na vitunguu kipindi kile nasoma. sasa nilikuwa najiuliza mbona hawatumi wenzake mpaka mimi. kwenye kuandika research nilikuwa nawaandikia mpaka dissertation. nilikuwa mjinga sana ila sasa walionifanyia mtoto wa watu sitaki tena ata kuwaona na kuwasikia.

nilikutana nao siku moja nikashikwa na hasira ikabidi nipite kushoto ata salam sikuwapa.
hahaa haaaa pole mkuu nakuona nakuona hawa viumbe sio wa kuzoeana nao sana lazima tu watakuona kama mwenzao na watakupanda kichwani haswa alaf wakiwa peke ao lazima wakuseme
 
Yaani sema ndo nishakuwa mtu mzima. sema mimi nilikuwa siwazoei ila ni mpole sana. walinionea sana miaka minne chuo kama mjinga.

misemo yao Aleppo mtu mstaarabu sana, sio mgomvi, ukimuomba kitu anakupa. nilikuwa na vyombo vya kupikia mara waje wachukue jiko, diaba, sufuria, mafuta ya taa, vitunguu n.k

aisehhh umenifanya nikumbuke mbali sana. kwenye masomo nawapa material nazitoa kwa boy wenzangu nawapa. kwenye mitihani napata supp kisa kuwasaidia hawa mabinti. najinyima ili niwaridhishe.

nashhukuru tumepata kazi ila mimi kama bosi wao. niliamua kupendekeza waamishiwe vijijini kipindi cha JK maana nilikuwa siwataki karibu yangu. Sasa wanataka kuhama bila malipo. bora Magu akaze hivyo hivyo wakafie huko porini mxiuuuuuuu zao.
 
Mkuu mleta uzi majibu aliyoyapata kwa wadau I hope hatokuwa tayari kusimuliwa mitongoz tena. Hayo mazoea aliyokuwa nayo yalivuka mpaka, zoeana na wanawake ila sio TO THAT EXTENT
 
ukiona unaambiwa maneno hayo alaf huyo mwanamke sio mpenzi wako

ujue una tabia za umbea umbea wanawake wanakuona kama shosti yao ndio mana wanakwambia hiyo ipo siku watakuagiza vitunguu na nyanya
hahahahahahahaaaaaaa shosti?
 
Yaani sema ndo nishakuwa mtu mzima. sema mimi nilikuwa siwazoei ila ni mpole sana. walinionea sana miaka minne chuo kama mjinga.

misemo yao Aleppo mtu mstaarabu sana, sio mgomvi, ukimuomba kitu anakupa. nilikuwa na vyombo vya kupikia mara waje wachukue jiko, diaba, sufuria, mafuta ya taa, vitunguu n.k

aisehhh umenifanya nikumbuke mbali sana. kwenye masomo nawapa material nazitoa kwa boy wenzangu nawapa. kwenye mitihani napata supp kisa kuwasaidia hawa mabinti. najinyima ili niwaridhishe.

nashhukuru tumepata kazi ila mimi kama bosi wao. niliamua kupendekeza waamishiwe vijijini kipindi cha JK maana nilikuwa siwataki karibu yangu. Sasa wanataka kuhama bila malipo. bora Magu akaze hivyo hivyo wakafie huko porini mxiuuuuuuu zao.

maneno yako ya mwisho mkuuu..pole sana wanyooshe baba zamu yao sasa
 
ukiona unaambiwa maneno hayo alaf huyo mwanamke sio mpenzi wako

ujue una tabia za umbea umbea wanawake wanakuona kama shosti yao ndio mana wanakwambia hiyo ipo siku watakuagiza vitunguu na nyanya
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Yani wameshakuona wewe kama mwanamke mwenzao tu
 
ukiona unaambiwa maneno hayo alaf huyo mwanamke sio mpenzi wako

ujue una tabia za umbea umbea wanawake wanakuona kama shosti yao ndio mana wanakwambia hiyo ipo siku watakuagiza vitunguu na nyanya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahhaa waje hapa wanawake wa humu watuambie kinagaubaga
 
Hapo kilichobaki ni hao wanawake kukuvisha shanga kiunoni, urafiki na wanawake sawa ila WATCH IT, NOT TO THAT EXTENT
 
Back
Top Bottom