Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,239
- 113,612
Hii mpya, sidhani kama kuna dada anaweza kubaka mwanaume. Maana jinsi wanaume walivyo kuwa na nguvu hadi ufanikiwe kumbaka nadhani ni ngumu. Haya mambo ya kubaka ni ya wanaume, wanaume wengi wanabaka wanawake zao hadi kwenye ndoa zao.
Jaribu kunibaka mimi next time...