Mwanamke kumtongoza mwanaume na tamaduni za Kiafrika

I see sijawahi pata bahati ya kutokewa na mwanamke dah naililia sana mi akinitokea natafuna tu si kanipenda au kuna ubaya?
 
Hakuna ubaya wowote, kwangu imenitokea mara 2 waki-propose kuhusu ndoa na niakongea nao vizuri tu na wakanielewa. Tatizo kubwa huwa upande wetu wanaume,mwanamke akikueleza feelings zake unaanza kumdharau na hata kumtangaza kwa watu.

Ni vema tuchukue positively, maana hata kina dada nao ni watu na wana hisia sawa na kina kaka.
 
Hapo sasa na pia mara nyingi huwa ni hatari kwa mwanamke maana kwa kawaida mwanamke anapofikia hatua ya kumtongoza mwanaume huwa amempenda kikwelii kiasi cha yeye kuushinda moyo wake na kuvunja zile aibu za kike. Sasa anapofanya hivi anaweza akapotea na kujikuta akichezewa tu kwa sababu kama yeye ni mzuri kwa maana ya mrembo mwanaume anaweza akamkubalia ombi lake kwa lengo la kujipatia umaarufu kuwa naye alitembeaga na flani hata kama kiukweli hamfeel moyoni.

In short wanaume si rahisi kumkataa mwanamke mrembo akija kumtongoza ila wanawake ni rahisi kumkatraa yule ambaye unaona kabisa ukimwambia sawa nimekubali utakuwa unamdanganya kwa sababu unazozijua wewe moyoni mwako.

Mimi naomba tu nibakie kuwa traditionalist katika hili!
 
Ujue sisi men tumeumbwa ndio viongozi, so kiutaratibu kabisa mwanamke hapaswi amuanze mwanaume, na hii hata ukiangalia in deep utagundua kuwa huo utaratibu upo ila kwa mwanamke hujilengesha tu kwako mpaka utaelewa tena haihitaji urijali huooo... haya mambo kwa sasa yanatokea kwa uwazi dem anaweza kukupijia sim akakuzingua nimekosea namba wakati kalegeza sauti kama mwanaume lazima utasema tu haina noma naisave tutawasiliana lol...... ndio ivo tunakiuka miko, no love there ni mikito tu hapo
 
Hii ya kutongozwa si jipya wengine tumezoea ndo maana suala la kuowa lipo kando kabisa, wake za watu ndo kabisa wanakuambia live....mkienda semina hasa nje ya nchi ni kumegana kwenda mbele mradi utunze siri.
 
Mimi natongozwa karibu kila siku. Sikumbuki hata mara ya mwisho kutongoza demu ilikuwa lini....matter of fact...sidhani hata kama nimewahi kutongoza....yaani hata sijui unatongozaje.
 
Mimi natongozwa karibu kila siku. Sikumbuki hata mara ya mwisho kutongoza demu ilikuwa lini....matter of fact...sidhani hata kama nimewahi kutongoza....yaani hata sijui unatongozaje.

kwi kwi kwi kwi komrediiiiiii dah i see una enjoy sana mkuu big up sana wewe unachagua ule yupi na yupi umtose.
 
Mi naona kumueleza mtu hisia zako makes more sense kwasababu inaondoa msalaba usio na tija. Majibu yote yanawezekana mwanamke anapomtongoza mwanaume lakini hata mwanaume naye anaweza kupewa majibu hayo hayo anapotongoza mwanamke. Ila kama unataka kufanya jua fika inataka moyo ati
 
Hii ya kutongozwa si jipya wengine tumezoea ndo maana suala la kuowa lipo kando kabisa, wake za watu ndo kabisa wanakuambia live....mkienda semina hasa nje ya nchi ni kumegana kwenda mbele mradi utunze siri.

We Masa sema taratibu utafanya wengine tukataliwe kusafiri kikazi lol! Kumbe mambo ndo yanakuwaga hivyo eeh?
 
Hii ya kutongozwa si jipya wengine tumezoea ndo maana suala la kuowa lipo kando kabisa, wake za watu ndo kabisa wanakuambia live....mkienda semina hasa nje ya nchi ni kumegana kwenda mbele mradi utunze siri.
Nakubaliana na wewe mkubwa kwa asilimia kubwa maana hata mimi nayaona. Mambo yamebadilika sana siku hizi.Kumegana imekuwa sio issue tena
 
Wanawake hasa walioolewa wako juu sana kutongoza wanaume hasa wenye ndoa. Yamenikuta hivi karibuni, nikawaeleza jamaa zang wakaniambia mbona hiyo ni kawaida sana siku hizi? Nilishangaa sana. Mwanamke mke wa mtu, wana ndoa; yuko bize kichizi eti ananipenda hawezi kuishi bila mimi.

Dah! inapendeza wanaume kutongoza tu. Wanawake wasubirie kuimbiwa hayo mashairi, wayasikilize na vile aibu aibu mambo yanapendeza. Mambo gani mwanamke ameshupaa anasukuma ajenda ya kumtaka men! Hapana, sioni kama inanoga mie. Labda ajilengeshe tu lakini asianze yeye kuwa mwongoza mada.
 
Hii ni maada/mjadala tu, haimanishi hivyo kama ulivyofikiri.
usijipe presha mammy kwani ujawazoea tu wanaume wa JF??? utani ni tamaduni yaoo
but back to the point ni kwamba what matters ni jinsi gani unamuapproach huyo mwananume unaweza ukamuaproach as a woman au ukamuapproach as a hooker, u know wat i mean? usiende kwa mwanaume ukaanza kumwachia kifua wazi, mapaja wazi unag'ta ng'ata vidole utegemeee akuelewe kwamba unampenda kidhati ... atajua may be unamtamani na unajua kuna tofauti ya kumpenda mtu na kumtamani which is temporary its like asking someone do you feel like having sex na akisema yeah you do it en no string attached no hard feelings. but unaweza ukamuonyesha mwanaume kwamba nakupenda na kuact as a woman na akakuelewa bilieve me i know what am talkin about...
 
Wanawake hasa walioolewa wako juu sana kutongoza wanaume hasa wenye ndoa

Si kweli hawapendi sana walioowa maana hawapatikani kiurahisi kama sisi Mabachela....maana mwenye mke wakati mwingine anakuwa hana nafasi....mabachela unapatikana anytime ......nakuambia maofisini tunaona mengi....
 
Wanawake hasa walioolewa wako juu sana kutongoza wanaume hasa wenye ndoa. Yamenikuta hivi karibuni, nikawaeleza jamaa zang wakaniambia mbona hiyo ni kawaida sana siku hizi? Nilishangaa sana. Mwanamke mke wa mtu, wana ndoa; yuko bize kichizi eti ananipenda hawezi kuishi bila mimi.

Dah! inapendeza wanaume kutongoza tu. Wanawake wasubirie kuimbiwa hayo mashairi, wayasikilize na vile aibu aibu mambo yanapendeza. Mambo gani mwanamke ameshupaa anasukuma ajenda ya kumtaka men! Hapana, sioni kama inanoga mie. Labda ajilengeshe tu lakini asianze yeye kuwa mwongoza mada.
labda sugarmummy hilooo au mdada kaolewa na kizeee anataka damu changa inayochemka hahhahahaha kazi unayo........
 
Si kweli hawapendi sana walioowa maana hawapatikani kiurahisi kama sisi Mabachela....maana mwenye mke wakati mwingine anakuwa hana nafasi....mabachela unapatikana anytime ......nakuambia maofisini tunaona mengi....

Dah kwa jinsi navyo kujua wewe huachi kitu hapo lazima ukandamiza mkuu kwi kwi na unavyo jua wanajua sana neno kupenda dah we acha tu watu tunaogopwa kufumwa maana ukifumwa utakacho kipata hehehe.
 
Back
Top Bottom