Mwanamke kumpiga hands up mumewe ni sahihi

busness

Member
May 1, 2014
27
9
Kuna tetesi kwamba kuna kabila moja nchini kanda ya kaskazini ukioa huko pindi ukitoka kazini jioni. Mke anakipipa handsup anakuserch mifukoni asiporidhika anakuamulu kupiga Soti yaani kutembelea mikono mpaka sole zidondoke ndo akuruhusu uingie ndani Salama jamani hii ina ukweli au majungu tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom