Mwanamke kumfanya mwanaume ni laana

Mwanamke kumfanya mwanaume ni laana

Mkuu na style ya popo kanyea mbingu nayo ni laana? nijibu ili niachane nayo
 
Kwani Mungu alifundisha mpaka aina ya mikato, embu wajuvi wa vitabu tupeni hiyo mistari.

Mtoa Uzi tueleze vizuri umekutana na nini huko!
Twende naye taratibu ataeleza vizuri na kwa kina
 
Salam kwenu Wana JF,

Kuna hii staili haramu wazungu wametuletea ya mwanamke kukaa juu ya mwanaume wakati wa kufanya mapenzi na kumfanya mwanaume.

Maana yake ni kuwa umekiuka Sheria ya kwamba mwanaume anatakiwa kuwa juu ya mwanamke katika Kila jambo Hadi sex.

Unapomruhusu au kumshinikiza mwanamke akufanye badala ya wewe kumfanya unajiletea laana na mikosi mwenyewe. Ni SAWA na unampa mwanamke taji lako.

Na shetani anaingilia upenyo huo huo kuharibu ndoa yenu sababu umeruhusu hii dhambi.

Lakini pia mwanamke ataacha kukuheshimu au atashindwa kukuheshimu hata kama kabla alikuwa anakuheshimu. Matatizo mengi kwenye ndoa yametokana na kufanya mapenzi Kwa staili za LAANA kama hizi.

Tubaki njia kuu missionary style ya mwanaume kuwa juu ya mwanamke wakati wa kufanya mapenzi ndiyo staili halali.
Utajisikiaje siku ukifika Mbinguni ukaambiwa hiyo staili haikuwa dhambi.
 
Ya kuchuma matembele ndo mzuei kuliko zote maana hata wanyama kama mbuzi ngombe punda. Mbwa nk ndo hutumia stail hiyo
 
We jamaa muongo sana, k inaonekana Kila angle, staili yoyote ni ruksa
 
Back
Top Bottom