Mwanamke kumfanya mwanaume ni laana

Mwanamke kumfanya mwanaume ni laana

Salam kwenu Wana JF,

Kuna hii staili haramu wazungu wametuletea ya mwanamke kukaa juu ya mwanaume wakati wa kufanya mapenzi na kumfanya mwanaume.

Maana yake ni kuwa umekiuka Sheria ya kwamba mwanaume anatakiwa kuwa juu ya mwanamke katika Kila jambo Hadi sex.

Unapomruhusu au kumshinikiza mwanamke akufanye badala ya wewe kumfanya unajiletea laana na mikosi mwenyewe. Ni SAWA na unampa mwanamke taji lako.

Na shetani anaingilia upenyo huo huo kuharibu ndoa yenu sababu umeruhusu hii dhambi.

Lakini pia mwanamke ataacha kukuheshimu au atashindwa kukuheshimu hata kama kabla alikuwa anakuheshimu. Matatizo mengi kwenye ndoa yametokana na kufanya mapenzi Kwa staili za LAANA kama hizi.

Tubaki njia kuu missionary style ya mwanaume kuwa juu ya mwanamke wakati wa kufanya mapenzi ndiyo staili halali.
🙄🙄Sasa kwanini kila vitu vizuri ni dhambi😀
 
Yani niache kupata utamu kwa kuogopa mambo ya sheria aaasubutuuu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ile style Kwanza ni uzazi WA mpango[emoji1787][emoji1787] unacontrol mchezo unavyotaka, ukiamua kupanda ushambulie, ukiamua kupaki basi kulinda goli, ukiamua unatoa Mpira nje wachezaji wapumue[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yani Raha tu.
[emoji2962][emoji2956][emoji7] sikupatii picha[emoji2960][emoji2960][emoji1787][emoji1787]
 
Salam kwenu Wana JF,

Kuna hii staili haramu wazungu wametuletea ya mwanamke kukaa juu ya mwanaume wakati wa kufanya mapenzi na kumfanya mwanaume.

Maana yake ni kuwa umekiuka Sheria ya kwamba mwanaume anatakiwa kuwa juu ya mwanamke katika Kila jambo Hadi sex.

Unapomruhusu au kumshinikiza mwanamke akufanye badala ya wewe kumfanya unajiletea laana na mikosi mwenyewe. Ni SAWA na unampa mwanamke taji lako.

Na shetani anaingilia upenyo huo huo kuharibu ndoa yenu sababu umeruhusu hii dhambi.

Lakini pia mwanamke ataacha kukuheshimu au atashindwa kukuheshimu hata kama kabla alikuwa anakuheshimu. Matatizo mengi kwenye ndoa yametokana na kufanya mapenzi Kwa staili za LAANA kama hizi.

Tubaki njia kuu missionary style ya mwanaume kuwa juu ya mwanamke wakati wa kufanya mapenzi ndiyo staili halali.
Mkuu acha uwoga. Kwenye sex kinachomata ni utamu. Kama wewe ukikaa juu au mwanamke akikaa juu au kupitishia kwa nyuma (staili ya chuma mboga au mbuzi kagoma), yote sawa tu ilmradi uenjoy sex. Mungu hakuweka sheria yoyote kwenye jambo hili unaweza mkafanyana kadri inavyowezekana ilmradi hamuumizani.

Sasa mtu mwenye kitambi kama mm ukiniambia niake juu huoni kwamba hilo halitawezekana? Na kama unataka wote tufuate sheria yako huoni kwamba utakuwa umeninyima haki yangu ya msingi ya kugegeda papuchi kutoka kwa mwanamke nimpendaye? Acha uwoga mkuu. Uwoga wako ndio umaskini wako.
 
Wewe muache aendelee na staili yake ya missionary. Hajawahi kukutana na mwanamke anayezungusha afu amkalie juu. Atasahau raha zote za dunia.
Ndiyo wale hata akitoka na mkewe anakuwa long-distance[emoji28] hata kumgusa kidole hawezi mezani wanakaa kama mabubu au kamtoa out mkwewe [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
🤣🤣🤣 Ile style Kwanza ni uzazi WA mpango🤣🤣 unacontrol mchezo unavyotaka, ukiamua kupanda ushambulie, ukiamua kupaki basi kulinda goli, ukiamua unatoa Mpira nje wachezaji wapumue🤣🤣🤣 Yani Raha tu.
Huku ukigugumia kwa mbali unamchanganya tu baba yoyoo...

utakua fundi hatari mkuu, apo na shanga au gold iwe imepita kiunoni 🙌.. kongole kwa kungwi wako.
 
Vile wanawake wapanda juu wanafuatilia huu uzi😁😁😁
Eot.jpg
 
Hizo stayle hajaleta mzungu hiki kitu watu munakosea sana, hio ni nature sema mzungu kaweka kwenye video na technology tu so mtu ambae hajawai sex anaona hizo style before ajafanya tendo so akianza sex anaona Kama anaiga kwa mzungu ila sio kweli hata video zisingekuwepo bado binadamu wangeoigana style hizo
 
Hakuna style naipenda kama hiyoo walahi ,huyo hajui tu kukufungulia moyo maana ukipata na mwanamke ambaye anaijua kuibania hiyo kitu nakuikatikia unazimia nakuimba kikwenu na mapambio
Niko kwenye ndoa kwa miaka mingi. Ninaishi na mke kwa kuheshimiana sana. lakini likija suala la tendo la ndoa hana aibu huyu mtu na hiyo style ya kukaa juu ndo style yake pendwa. Ili aweze kufika lazima akae juu na huwa macho yanageuka kiini cheusi kinapotea. Hii style ni nzuri aisee unaweza kujikuta unalia kama mbuzi bila sababu.
 
Nishawahi kuwa na binti mmoja naye ili afike lazima aikalieee yaan lazima na ukiona hajasema anataka kuikaliaa unajuaa kabisa leoo hajisikii
 
Back
Top Bottom