Mwanamke kulia njaa kajitakia.

Mwanamke kulia njaa kajitakia.

Habari za wana jf.
Nimekua na maoni kadhaa kuhusu dada zetu kuhusu swala la wao kutoaminika kwa sababu ya jinsia yao unajua katika jamii nyingi duniani mwanamke ndie hutongozwa Kwa maana hiyo kulingana na mazingira anayoishi ndio yanayochangia.

Miaka flan ya nyuma nimewahi kuja na ID flan kama ya kike na picha matata sana ya mwanamke nikaiweka avatar, basi hiyo siku hiyo nikapost mada kama mbili zakike moja wapo yakutafta mchumba. Duu ndugu zangu hapo nilijifunza kitu.

Kwanza nilipata pm nyingi mno hata sikumbuki maana ulikua ni utiriri wa kutisha.

Pili nilielewa wanaume wenzangu udhaifu wao mkubwa ni mwanamke. Kwa hili wanaume hatuna ujanja ni kweli kabisa udhaifu wetu upo kwa mwanamke hivyo basi nikiona hata watu wamevunja urafik au kuwa maadui sababu ya mwanamke sishangai sana.

Sasa kwa ule mtiririko wa watu ukiona mwanamke analia njaa jua kataka tuu.
Tofauti na wale wanawake wanaouza miili kambi ya fisi kule au kwenye social network zipo biashara kibao za wanawake sema wanatofautiana namna ya kujiuza kwa sababu kila mtu ana njia yake.

Kwa kupitia kule pm tayari mwanamke angekua na wateja wake wa kutosha tuu kimya kimya. Kuna mada niliona member alianzisha wanawake wataje idadi ya wanaume waliotembea nao chakushangaza hakuna alietaja zaid ya kukwepa mada tuu.

Hapa napo niuongo mtupu kwani inakua ngumu sana kuweka idadi au mwingine anaishia kutaja watatu na anazaid ya miaka 28, kwel?? hapana hakuana mwenye uujasir wa kutaja zaid ya watu 100 au 500 hivyo wengi wanaona aibu.

Kwa mwanamke wa kawaida asie na makuu kiasi cha chini ya kutembea na wanaumi si chini ya 100 na wale wale wengine ni kwanzia 1000 na kuendelea.
Embu fikiria mitandao ya kijamii, mitaani, vyuoni, kazini na sehemu nyingine mwanamke anakua kakutana na watu wangapi?

Akianza kuomba pesa kwa team yake hiyo atatengeneza Tsh ngapi?
Chakushangaza hizo pesa sijui zinaishia wai sababu maisha yao ni yale yale tuu.
Ukitoa gharama za vipodoz na saluni na mahitaj yao private bado unabakia mpunga mrefu sana na wengine hata hawavai sana pamba kalii lakin bado wanalia njaa, this is amazing!..

Hizo pesa zinaenda wapi, ukichek hata simu kali wanayotumia hamna zaid ya vitekno? Wanaume kadhaa nimeshuhudia wakilia kulizwa malaki na mamilion ya pesa chakushangaza hatuoni output ya maana kwa hao wanawake. Sishangai taifa kubwa kama marekani kutomuweka mwanamke rais bora Trump tuu.
Iko ivi kama ww ni wakike unatafuta bahasha useme ila uache kudis wanawake na kama wakiume ww ni shoga maana uwezi tukana mama ako au shangazi yako dada ako kwa kauli za kijinga hivyo hizo jiumize nimefikaje hapo hapo nyinyi ndio wanaume mama zenu waliwazalia guest alafu mmekua ila kujua historia yako ya maisha leo unawakashfu wanawake mm upande wangu nakuona mjinga kwa kuanzia mada ya kijinga kama hii
 
Halafu we mtoa mada usifikiri wanawake wote wako kama hao ulio wapitia pitia jifunze kumuheshimu mwanamke kwani akitongozwa na msururu wa wanaume basi ndio lazima alale nao au awaombe pesa kweli wewe fikra zako bado finyu.
 
We jamaa ulitumia ID ya kike ilikutuchunguza wanaume ili IKUSAIDIE NINI

Maana nafikiria lengo lako hata silipatii picha

Lengo lako lilikua upige pesa za wanaume kwa kujifanya wakike au

Au ndo zile ajenda za siri za akina DAVID CAMEROON
Huyo atakua shosti
 
Mngese ww unajua mama ako ni mwanamke unajua mpaka unazaliwa ww mama ako amehaso veepe labda umezaliwa nyuma ya soko baada ya hao wanaume unaona wanafaa leo kumkimbia mama ako achane ujinga heshimuni wanawake acheni ujinga maana bila mwanamke leo usingekuwa nyuma ya kibodi mm wakime ila ilove u my momy so much and dady
Ww usiwe kama hautiwi... kwani umetajiwa mama ako hapa.. acha watu tulonge tutakalo JF sio ya baba ako shombo ww..
 
Kwani ww mbuzi nani kamfata mwenzie? kama uliona mada ni ya kipuuzi we ungeendelea na maisha yako hakukuwa na haja ya kuja kutokwa povu huku?

Au unazai ID mpya ndo ujanja?
Ulipo toa mada nia yako watu waje kuchangia sasa wanawake wanakupa ukweli unakua mkali, kaa chini tulia upakwe mafuta kisha upakatwe chefuuuu ndio maana kicheche...
 
Inabidi wakiongwa wakujulishe kua Wame hongwa na wakitumia ziki Isha ina bidi wakujuze zime kwisha pia
 
sijawahi kulia njaa, silii njaa na sitolia njaa kwa kutegemea hela ya mwanaume, mtoa mada ungekuwa mwanamke sasa hivi ungekuwa umekufa na maradhi kwa tamaa zako za kupenda vya kupewa
Huyu angekuwa mwanamke angesha kufa na umalaya
 
Katoa mads alafu anakua mkaaali anatukana watu anataka watu wapite kimya mi namshangaa kashfa aliotoa anataka watu wakae kimya mpuuzi kweli huyu..
Umeona eeh! Nadhani wamemtenda mambo mabaya kachukia kila mtu
 
Back
Top Bottom