Mwanamke kulia njaa kajitakia.

Mwanamke kulia njaa kajitakia.

true, mwanamke kulia njaa ni ufala uliotukuka hali ya kuwa papuchi mzuri anayo...
 
Kiukweli sijaelewa dhumuni la mtoa mada, ni anatoa ushauri, anakemea, au anatangaza biashara??

could someone help me plz.
 
  • Thanks
Reactions: ipy
Kulikuwa hamna haja ya kupretend bora hata angesema nilimuuliza mwanamke fulani kuhusu hiyo ishu ila sio kufungua Identity ya kike
Nadhani amefanya vema kusema ukweli alichokuwa akikifanya ili apate msaada sawia. Katushushia hadhi wanaume. Usikute huwa anavaa ushungi wakati mwingine kwenda mitaa fulanifulani kufanya huo utafiti. It's dangerous.
 
Nadhani amefanya vema kusema ukweli alichokuwa akikifanya ili apate msaada sawia. Katushushia hadhi wanaume. Usikute huwa anavaa ushungi wakati mwingine kwenda mitaa fulanifulani kufanya huo utafiti. It's dangerous.
Lol, spare my ribs,
 
  • Thanks
Reactions: ipy
Lengo ni ushuhuda tuu wala hakuna asiejua wanawake ni watu wa aina gani.
Kama hawajiuzi basi tungepata bikra nyingi sana. Mimi ninajua wanawake wote ni malaya sema wanatofautiana tuu namna ya kuuza miili yao wengine kazini, vyouni, mitandaoni, mtaani na wale wanaopiga kambi kabisa sehemu maalumu kwa hiyo biashara.
Usaliti umekua mkubwa sana watu mkiambiwa kwel mnaanza kupiga bla bla tuu.
Mkuu kama umeumizwa na mwanamke kula pini endelea na maisha. Sikufahamu kuwa umefanya utafiti pia wa kujua idadi ya walio mabikra! Kumbuka unachojua wewe sio lazima ndio kiwe ukweli wa mambo, waweza fikiri unajua kumbe hujui. Fanya utafiti wa kisayansi kwanza, au tupe rejea ya tafiti mojawapo.
 
Maada zingine Bana, kusahau kama anaowasema, mama Zake wadogo wapo. Shangazi Zake wadogo na Wakubwa wamo, Dada Zake wamo, mama mzazi wake yumo, waombe msamaha wanawake wote na mkeo pia, akili ya tui alaaaaa,,!!!!
 
Back
Top Bottom