TGInnocent
JF-Expert Member
- Feb 7, 2013
- 1,088
- 583
Yawezekana hana dada ila nina uhakika ana mama.Kwahiyo mkuu unawashauri wajiuzee??
Kumbuka kwamba hata dada yako ni mwanamke anza kumuelimisha kwanza dada kuhusu hii biashara halafu rudisha marejesho kapiga pesa ngapi??

