mwanamke kujifngua

Buntungwa

JF-Expert Member
Oct 29, 2010
549
304
mkuu dr nisaidie kunamsemo unasema hivi ni kweli mwanamke akijifungua kwa njia ya kawaida maumbile yake yana aribika ndio maana siku izi ukitaka kujifungua unauwezo wa kuchagua operation au njia ya kawaida,sikuizi wadada wengi awapendi kujifungua kwa njia ya kawaida wakihofia maumbile yao kuaribika wanaamua kufanyiwa operation je ni kweli?:hippie::hippie::hippie::hippie:
 
mh!
zinakua kama zinacheka au?
wenye data mwageni humu,niko around!
 
ile kitu ni elastic material inarudia hali yake ingawa siyo asilimia yote na mazoezi ya misuli ya uke yapo ngoja King'asti aje aeleze kwa kina
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom