. Baada ya mda alimuuliza huyo msichana kama yuko na mtu, msichana akasema yuko pekee yake (Single). Basi jamaa akatupa karata yake.
Yule msichana akasema yeye ameokoka na anapenda kuenenda katika mapenzi ya kimungu.
Basi rafiki yangu alifurahi sana kukutana na huyo binti, akauliza wapi anakosali, bila kusita msichana akaeleza anasali wapi.
Jumapili moja jamaa yangu akaibukia kanisani na kuona kweli anasali pale, akamtamburisha kwa baadhi ya ndugu zake.
Baada ya muda fulani yule binti akaaza kuwa anaomba pesa. Ok bila kusita jamaa akawa anampa hizo pesa (mara anataka kusuka, anataka kununua viatu, hela ya chakula cha mchana na mengine). "Huyu dada amesoma na ana digrii pia anafanya kazi"
Mkuu kaka' akuna makubaliano ya kuwa wapenzi aliuliza tu na baadaye akajipeleka kanisani akatambulishwa kwa ndugu basi ....
Ndio akome kuishi kwa kuombaomba na ajifunze kuheshimu mahusiano, wewe unaona alichokifanya huyo mwanamke mwenzenu ni sawa.? Hapo tayari fedheha imekwishawakuta ndugu zake na wazazi wake.
Wamekwishatambulishana mpaka kutambulishana kwa ndugu, halafu anakuja kukiuka makubaliano waliyowekeana, wewe unadhani ni sawa.?
umekula vya kwangu, utanibeba leo
kanunua simu kampa dem, walivyoachana kampokonya
jamani tuwe tunaangalia wanaume wa kudate nao lol
Ndio akome kuishi kwa kuombaomba na ajifunze kuheshimu mahusiano, wewe unaona alichokifanya huyo mwanamke mwenzenu ni sawa.? Hapo tayari fedheha imekwishawakuta ndugu zake na wazazi wake.
Wamekwishatambulishana mpaka kutambulishana kwa ndugu, halafu anakuja kukiuka makubaliano waliyowekeana, wewe unadhani ni sawa.?
Ndugu pole sana, wazazi tayari wamekubali watalipa. Ila nyie wanawake muwe makini kuna watu makauzu zaidi ya dagaa.aende zake huko alitambulishwa kwa wazazi kama nani, c hata barua angepeleka na mahri basi tupate kumtetea, asitukaushe mate kwa kushauri kwenye hamna, ana ushahidi????????????????????//
Je basi pesa za jamaa zipotee tu? na kwa nini hataki kuongea na jamaa amweleze na ananza vitu vya ajabu?hata mikataba huwa inavunjwa........
sembuse makubaliano tena ya kuwa wapenzi
kuwa wapenzi is not a guarantee that mtaingia
ktk marriage......,
Ndugu pole sana, wazazi tayari wamekubali watalipa. Ila nyie wanawake muwe makini kuna watu makauzu zaidi ya dagaa.
Je basi pesa za jamaa zipotee tu? na kwa nini hataki kuongea na jamaa amweleze na ananza vitu vya ajabu?
hata mikataba huwa inavunjwa........
sembuse makubaliano tena ya kuwa wapenzi
kuwa wapenzi is not a guarantee that mtaingia
ktk marriage......,
Je basi pesa za jamaa zipotee tu? na kwa nini hataki kuongea na jamaa amweleze na ananza vitu vya ajabu?
wazazi wamekubali koz wamemuona mjinga huyo rafikiyo na wanamuepusha mtoto wao kuendelea kufuatiliwa na unmatured man
Huyo dada alikuwa akimuomba hizo pesa huyo mwanamume kama nani yake.? Yes mkataba umevunjika, na jamaa anadai pesa zake kwa kuwa mkataba umevunjika.
aende zake huko alitambulishwa kwa wazazi kama nani, c hata barua angepeleka na mahri basi tupate kumtetea, asitukaushe mate kwa kushauri kwenye hamna, ana ushahidi????????????????????//
Sio kwa sababu wamemuona mpuuzi, ila kwa sababu mtoto wao amekiuka makubaliano aliyokubaliana na mwenzake. Tuongee Facts, wewe unaona huyo binti alichokifanya ni sahihi kabisaaa....! Weka ushabiki pembeni.