Mwanamke kudai anajisikia kukojoa

Mwanamke kudai anajisikia kukojoa

Kijana hebu mwambie mzee wako auze lile dume lang'ombe upate ada urudi shule
bf48f3fe9d0024e4f85489d700075abd.jpg
 
Uuuuiw wengine ukisikia anakuambia hvo weka sura mbali. Wakati huo sijui kung fu wanajifunziaga wapi
 
Samahani waungwana,nimekua na kawaida ya kugegedana na baadhi ya wasichana/wanawake, mara nyingi wakati nafanya nao mapenzi hupiga kelele kuwa wanajisikia kukojoa, na mimi huwa nawaambia kojoa, lakini hawakojoi(mkojo halisi) licha ya kuwaambia wakojolee kitandani kama kweli wanahisi kukojoa, cha ajabu hawakojoi.

Baada ya kugegedana huwa najaribu kuwadadisi kwamba mbona wanashindwa kukojoa licha ya mimi kuwapa ruhusa ya kukojoa kitandani wakati wakufanya tendo husika,wao hunijibu kua wanashindwa.

Je hii hali huwa inamaanisha nini,ni kweli wanakua wanataka kukojoa mkojo halisi au huwa ni hisia zao tu,na kama majibu siyo hayo,majibu ni yapi,mwenye uelewa wa haya mambo naomba anijibu.
Nawasilisha.
hivi unahitaji attention au nini hasa???
mbona ww ni JF Expert Member halafu ulichoandika hapa ni tofauti na reputation yako!
 
Back
Top Bottom