Cantalisia
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 5,222
- 2,929
Hizi thread za kutu diss wanawake zimekuwa ndo new trend sasa eeh!
Teh teh teh teh....Nadhani mleta mada ni mzaliwa wa wazazi wa jinsia moja. Yaaani ya kiume
Mwanamke huyo huyo ni binadamu kama wewe. Je wewe na uume wako ni kamili? Nadhani tatizo si kuwa mwanamke au mwanaume bali uwezo wa mtu kuyachambua mambo. Wote tumeumbwa kwa mfano wa Mungu. Wapo shetani wanaume na wanawake kadhalika. Kama yamekukuta usikimbilie kulaumu wote. Waweza kuwa tatizo kuliko hata huyo mwanamke uliyempa ushetani wote. Ni majambazi, wabakaji, mafisadi, wasanii, wauaji na mengine mengi ni wanaume? Basi kama kuna mwanamke shetani duniani si mwingine bali mama yako aliyekuzaa ufanye hitimisho hafifu kama hili.
Tujifunze kusoma kwanza ndio tuchangie,mtoa mada ashasema kwamba yeye ni mwanamke,pili maelezo yake yanaonyesha anamuelezea mwanamke kama mpenzi(girlfrien/fiancee/wife) na si mwanamke kama mama,kwakua wewe ni mpayukaji jaribu kurelax kidogo usiwe unapayuka tu ovyo ovyo!

Mwenzenu nashukuru sikuzaliwa mwanamke!
Nitarudi baadae kuendelea na list!!!!!
Hizi thread za kutu diss wanawake zimekuwa ndo new trend sasa eeh!
Heshima sana Mkuu, hebu tuambie ni katika sentensi gani mtoa mada amejitambulisha kama mwanamke?Tujifunze kusoma kwanza ndio tuchangie,mtoa mada ashasema kwamba yeye ni mwanamke,pili maelezo yake yanaonyesha anamuelezea mwanamke kama mpenzi(girlfrien/fiancee/wife) na si mwanamke kama mama,kwakua wewe ni mpayukaji jaribu kurelax kidogo usiwe unapayuka tu ovyo ovyo!